Faculty of Arts: Recent submissions
Now showing items 761-780 of 979
-
Mada: Ukuzaji Wa Kiswahili
(University of Nairobi, 1988) -
Uyakinifu Wa Maudhui Makuu Katika Utenzi Wa Abdirrahmani Na Sufiyani
(University of Nairobi, 2017)Tasnifu hii imeshughulikia uchambuzi wa maudhui makuu katika Utenzi wa Abdirrahmani na Sufiyani kwa kusoma utenzi wenyewe na kudondoa yale masuala mazito yenye uyakinifu katika maisha ya jamii. Tumeongozwa na nadharia ... -
Jumbe katika Vibandiko vya Matatu
(university of Nairobi, 2011)Tasnifu hii inahusu jumbe zinazopatikana katika magari ya usafiri wa umma yanayojulikana kama Matatu. Utafiti wetu umefanyiwa mjini Nyahururu ambao ni mji unaopatikana katika jimbo la Nyandarua, takribani kilomita mia ... -
Ubanifu Wa Fani Katika Diwani Ya Alidhani Kapata Na Hadithi Nyingine
(university of Nairobi, 2015)Lengo la utafiti huu limekuwa kuchanganua ubanifu wa fani katika hadithi fupi katika diwani ya Alidhani Kapata na Hadithi Nyingine (2011) iliyohaririwa na Iribemwangi. Mada imechaguliwa kwa misingi kuwa kazi ya kifasihi ... -
Matumizi Ya Tashbiha, Sitiari Na Taashira Katika Damu Nyeusi Na Hadithi Nyingine
(university of Nairobi, 2016)Katika tasnifu hii tumeonyesha matumizi ya tashbiha, sitiari na tashbiha katika diwani ya Damu Nyeusi na Hadithi Nyingine ambayo ni mojawapo ya hadithi fupi za Kiswahili iliyo na hadithi kumi na tatu zilizoandikwa na ... -
Upembezwaji Wa Mwanamke Kama Udokezi Wa Nafasi Ya Mwanamke Katika Utenzi Wa Fatuma
(university of Nairobi, 2011)Tasnifu hii imeshughulikia upembezwaji wa mwanamke kama udokezi wa nafasi ya mwanamke katika Utenzi wa Fatuma. Kazi imegawika katika sura tano. Katika sura ya kwanza, tumeshughulikia maswala ya kimsingi yanayojenga ... -
Dhana Ya Maisha Katika Riwaya Mbili Za Euphrase Kezilahabi: Kichwamaji Na Dunia Uwanja Wa Fujo
(university of Nairobi, 2011)Katika tasnifu hii tumechunguza dhana ya maisha katika nwaya mbili za Euphrase Kezilahabi ambazo ni Kichwamaji na Dunia Uwanja wa Fujo. Uhakiki huu umegawanywa katika sura nne. Katika sura ya kwanza tumebainisha somo la ... -
Kilio cha wanyonge katika Riwaya za Said Ahmed Mohamed
(University of Nairobi, 1983) -
Uhakiki wa Riwaya ya nyuso za mwanamke na Said Ahmed Mohamed: mtazamo wa saikolojia changanuzi
(University of Nairobi, 2011)Tasnifu hii inahusu uhakiki wa riwaya ya Nyuso za mwanamke (2010) ya Saidi Ahmed Mohamed kwa mtazamo wa saikolojia changanuzi. Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa kuonyesha, kuchanganua na kubainisha mitagusano inayoibuka ... -
Maudhui ya mapinduzi katika Riwaya za Visiwani Zanzibar:
(University of Nairobi, 1987) -
Uhalisia Na Uhalisiajabu Katika Riwaya Mpya: Babu Alipofufuka (Said Ahmed Mohamed) Na Watuwa Gehenna (Tom Olali)
(University of Nairobi, 2013)Tasnifu hii inahusu uhalisia na uhalisiajabu katika riwaya za Said Ahmed Mohammed (Babu Alipofufuka) na Tom Olali (Watu wa Gehenna). Katika utafiti huu tumechunguza uhalisiajabu katika kiwango cha wahusika na mandhari ... -
Mwingiliano Wa Fasihi Na Historia Katika Utenzi Wa Nchuu Cwavo Yapo Tini Mwa Irara (Mtu Ni Kwao Yapo tini Mwa Irara)
(University of Nairobi, 2017)Tasnifu hii inahusu mwingiliano wa fasihi na historia katika Utenzi wa Nchuu Cwavo Yapo Tini lvfwa Irara wa Abubaker M.B. Khuchi. Kazi hii ilikuwa na maIengo mahususi matatu; kwanza, kuhakiki mchango wa historia katika ... -
Athari Za Fasihi Simulizi Katika Riwaya Ya Utubora Mkulima
(University of Nairobi, 2013)Utafiti huu umeshughulikia athari za fasihi simulizi katika uandishi wa riwaya ya Utubora Mkulima. Sura ya kwanza ni somo la utafiti,madhumuni,maswali ya utafiti,sababu za kuchagua somo,upeo na mipaka,misingi ya nadharia ... -
Analyzing the effects of digitalization on mainstream Media and Journalism in Kenya
(University of Nairobi, 2018)This study aimed at analysing the effects of digitalization on mainstream media and journalism in Kenya. The study included sampled officials in the media industry in Nairobi. The study achieved its purpose through three ... -
The Impact Of Economic Integration On The Sugar Industry In Kenya: A Case Study Of Comesa
(University of Nairobi, 2020)This study sought to examine the relevance of economic integration in relation to transforming the sugar sector in Kenya. It sought to examine the impact of economic integration on the sugar industry in Kenya. The study ... -
Influence of Commercial Interests in Editorial Independence: a Study of the Kenyan Print Media
(University of Nairobi, 2020)Serving public interest is one of the key tenets of the media. However, over time, this principle is being eroded due to the influence of commercial considerations over editorial freedom and decisions in media organisations ... -
The Relationship Between Parenting Styles and Adolescents Antisocial Behaviour in Secondary Schools in Embakasi East, Nairobi County
(University of Nairobi, 2020)The proposed study aimed at examining the relationship between parenting styles and adolescent antisocial behavior among students in Secondary Schools in Embakasi East Nairobi County. It was mainly centered on examining ... -
Challenges in Teaching Visually Impaired Students in Kenya- the Case Study of Kitui Secondary School in Kitui Central
(University of Nairobi, 2020)The general objective of the study was to investigate the obstacles encountered by teachers who teach students with visual impairment. The specific objectives were; (a) To understand the level of knowledge of the teachers ... -
The Challenges of Interpreting Figurative Language From Kiswahili to English With Focus on Reduplication and Euphemism
(university of Nairobi, 2020)This study set to find out if interpreters faced any challenges while interpreting reduplicative words and euphemistic language and the strategies they use. The key objective was to investigate how reduplicative words and ... -
Narrating the Nation- Images of Kenya Through Individual and Collective Narration in the Dragonfly Sea by Yvonne Adhiambo Owuor
(University of Nairobi, 2020)In this thesis, I explore Yvonne Owuor’s The Dragonfly Sea and how individual and collective narratives in the novel mirror, interrogate, examine and reimagine the nation – particularly Kenya. This study contends that ...