Show simple item record

dc.contributor.authorMaina, Hannington G
dc.date.accessioned2021-08-20T07:38:42Z
dc.date.available2021-08-20T07:38:42Z
dc.date.issued2011
dc.identifier.urihttp://erepository.uonbi.ac.ke/handle/11295/155290
dc.description.abstractTasnifu hii imeshughulikia upembezwaji wa mwanamke kama udokezi wa nafasi ya mwanamke katika Utenzi wa Fatuma. Kazi imegawika katika sura tano. Katika sura ya kwanza, tumeshughulikia maswala ya kimsingi yanayojenga utafiti wetu kama vile: kutambulisha utafiti, sababu ya kuchagua mada, tatizo la utafiti, madhumuni ya utafiti, nadharia tete, malengo ya utafiti, msingi wa kinadharia, upeo na mipaka, yaliyoandikwa kuhusu maada yetu na njia za utafiti tulizotumia. Katika sura ya pili, tumeshughulikia ubabedumne kama mhimili mkuu wa upembezwaji wa mwanarnke. Tumeeleza historia ya ubadume kwa kuwa historia hii inatusaidia kuelewa mfumo wa ubabedume. Baada ya kueleza historia hii, tumezieleza asasi zinazochangia kuuendeleza mfumo wa ubabedume. Asasi hizi tumezitajakuwa: dini, ndoa, utamaduni na elimu. Katika sura ya tatu, tumeuhakiki Utenzi wa Fatuma kwa kutumia nadharia ya ufeministi wa kirasimi. Tumethibitisha kuwa asasi za ndoa, dini, na utamaduni ndizo zinazochangia kepembezwa kwa mwanamke katika Utenzi wa Fatuma. Katika sura ya nne, tumeonyeshajinsi lugha inachangia kupembezwa kwa mwanamke katika Utenzi wa Fatuma. Mbinu za lugha tulizozieleza ni ishara na uashiriaji na vilevile mbinu ya sitiari. Tumetoa mahitimisho yetu katika sura ya tano.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisheruniversity of Nairobien_US
dc.rightsAttribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States*
dc.rights.urihttp://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/*
dc.subjectNafasi Ya Mwanamken_US
dc.titleUpembezwaji Wa Mwanamke Kama Udokezi Wa Nafasi Ya Mwanamke Katika Utenzi Wa Fatumaen_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States
Except where otherwise noted, this item's license is described as Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States