• Login
    • Login
    Advanced Search
    View Item 
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Bonde la wakati katika riwaya za Kezilahabi

    Thumbnail
    Date
    1992
    Author
    Baru, Wambui T
    Type
    Thesis
    Language
    en
    Metadata
    Show full item record

    Abstract
    Tasnifu hii ni uhakiki wa riwaya nne za Kezi1ahabi yaani Rosa Mistika (1971), Kichwamaji (1974), Dunia Uwanja wa Fujo (1975) na Gamba la Nyoka (1979), ukidhamiria kuchunguza jinsi ambavyo suala la bonde la wakati limemulikwa. Lengo kuu la tasnifu hii ni kuonyesha uzito uliopewa dhana ya bonde la wakati katika kuelezea mahusiano ya kijamii. Imegawanyika katika sura sita. Katika sura ya kwanza kuna mada ya tasnifu, somo la utafiti, madhumuni ya utafiti, upeo wa tasnifu, yaliyofanywa kuhusu somo hili, msingi wa nadharia, haipothesia na mwisho methodolojia. Sura ya pili inamulika utamaduni wa kijadi na uie wa kigeni. Nafasi ya dini pia imeshughulikiwa hapa. Sura ya tatu inahusu mfumo wa elimu wa kimagharibi na jinsi inavyoathiri mtazamo wa kizazi kipya. Sura ya nne inaziangalia athari za kiuchumi-jamii kwenye jamii. Sura ya tano inahusu nafasi. ya siasa katika kuathiri uhusiano wa wanajamii. Sura ya sita ni hitimisho ambayo ni muhtasari wa yote yaliyojadiliwa. Katika sura hii pia kuna sehemu inayoangalia falsafa ya mwandishi na hatimaye sehemu inayozizungumzia riwaya za hivi karibuni za Kezilahabi yaani Nagona (1990) na Mzingile (1991)
    URI
    http://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/18172
    Citation
    Tasnifu hii imetolewa ill kutosheleza baadhi ya mahitaji ya shahada
    Publisher
    Department of Arts
    Collections
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM) [24587]

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback

     

     

    Useful Links
    UON HomeLibrary HomeKLISC

    Browse

    All of UoN Digital RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback