• Login
    • Login
    Advanced Search
    View Item 
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Kishazi huru arifu cha Kiswahili: mtazamo wa X-bar

    Thumbnail
    View/Open
    Full Text (1.710Mb)
    Date
    2003-09
    Author
    Jerono,Prisca
    Type
    Thesis
    Language
    en
    Metadata
    Show full item record

    Abstract
    Tasnifu hii inajaribu kuonyesha miundo ya virai na vishazi huru vya Kiswahili kwa mujibu wa nadharia ya X-bar kwa madhumuni ya kuonyesha namna arnbavyo nadharia hii inavyoweza kutumika kuonyesha miundo ya virai na vishazi pamoja na nafasi ya vipashio mbalimbali katika miundo hii. Katika sura ya kwanza tumeangaza kuhusu utangulizi mfupi wa nadharia ya X-bar na kueleza mada ya utafiti. Vilevile tumeangalia madhumuni ya utafiti, nadharia tete, msingi wa kinadharia, udurusu wa kazi mbalimbali pamoja na njia za utafiti. Katika sura ya pili tumeangazia kuhusu dhana ya kategoria na kategoria mbalimbali zinazotumika katika uundaji wa virai. Vilevile tumeeleza kuhusu dhana ya virai na kuonyesha virai mbalimbali vinavyotumika katika uundaji wa vishazi huru pamoja na miundo yao. Katika sura ya tatu tumeonyesha uchanganuzi wa miundo ya vishazi huru kwa mujibu wa nadharia hii ya X-bar. Katika uchanganuzi huu tumezingatia miundo ya virai vilivyoonyeshwa katika sura ya pili.Vilevile kuna maelezo machahe kuhusiana na vishazi huru na vipashio mbalimbali vinavyotumika katika uundaji wa vishazi huru . Sura ya nne inatoa mahitimisho kuhusiana na uchanganuzi wa muundo wa kishazi huru pamoja na mapendekezo kuhusiana na utafiti zaidi katika eneo hili.
    URI
    http://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/18291
    Citation
    Jerono, P.(2003). Kishazi huru arifu cha Kiswahili: mtazamo wa X-bar
    Sponsorhip
    University of Nairobi
    Publisher
    Department of Linguistic and Languages, University of Nairobi
    Subject
    Kiswahili
    X-bar
    Description
    MA - Thesis
    Collections
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM) [24587]

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback

     

     

    Useful Links
    UON HomeLibrary HomeKLISC

    Browse

    All of UoN Digital RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback