• Login
    • Login
    Advanced Search
    View Item 
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Utetezi wa maadili katika fasihi - nathari va Shaaban Robert

    Thumbnail
    View/Open
    Full Text (2.131Mb)
    Date
    2000
    Author
    Orina, B. W. Mong'eri
    Type
    Thesis
    Language
    other
    Metadata
    Show full item record

    Abstract
    Tasnifu hii ni uhakiki wa utetezi wa maadili katika kazi za kinathari za Shaaban Robert. Tunashughulikia kazi tano peke yake. Uhakiki huu unagawanywa katika sura tano. Katika sura ya kwanza tunatoa utangulizi unaohusu wasifu wa Shaaban Robert, na tafsiri ya maadili. Pia tunalieleza tatizo linalotafitiwa; na shabaha za utafiti. Aidha katika sura hii tunatoa sababu zilizotufanya kuchangua mada hii. Hali kadhalika tunataja upeo wa utafiti na kisha tunaeleza msingi wa kinadharia tuliotumia, na pra tunazirejelea kazi zilizoandikwa kuhusu mada tunayoshughulikia, na jinsi tulivyofanya utafiti wetu. Katika sura ya pili, tunatalii aina za maadili katika kazi za kinathari za Shaaban Robert. Mosi tunazungurnzia maadili ya kisiasa kabla ya kuyajadili yale ya kiuchumi na kisiasa. Katika sura ya tatu tunaangalia namna uhusika ulivyotumiwa kuwashilishia utetezi wa maadili. Tunazungurnzia wahusika wa kitaashira wenye matendo merna na maovu. Katika sura ya nne tunatoa mambo matatu yanayoonekana kuwa nguzo muhimu katika utetezi wa maadili. Mambo hayo ni mafunzo, ushujaa na moyo wa subira. Na sura ya tano ina matokeo ya utafiti na utoshelevu wa nadharia tuliyoturnia. Sura hii pia inatoa mapendekezo kwa utafiti zaidi.
    URI
    http://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/18307
    Citation
    Master of Arts
    Publisher
    University of Nairobi.
     
    Department of Kiswahili
     
    Collections
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM) [24587]

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback

     

     

    Useful Links
    UON HomeLibrary HomeKLISC

    Browse

    All of UoN Digital RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback