• Login
    • Login
    Advanced Search
    View Item 
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Ukiushi katika lugha ya kimaongezi dhidi ya kanuni za kiswahili sanifu

    Thumbnail
    Date
    1991
    Author
    Mgambi, Shake R
    Type
    Thesis
    Language
    other
    Metadata
    Show full item record

    Abstract
    Utafiti . huu umetokanana imani kwamba ukiushi katika lugha ya kimaongezi ni tukio halisi na dhahiri katika matumizi ya lugha yo yote ile. (Taz. Max Black, 1968). Kuifahamu lugha na kuielewa kikamilifu kunahusu pia ufahamu wa hali ya ukiushi na sababu za ukiushi huo unaotoka. Tasnifu hii imechunguza na kuonyesha baadhi ya makosa (ukiushi) yanayotokea katika hali halisi ya maongezi ya wahusika kutoka katika mtaa wa Kariobangi South, mjini Nairobi. Kazi hii imegawanywa katika sura sita. Kila sura inajadili kipengee maalum kinachohusu matumizi ya lugha. Kila sura ina utangulizi, na panapo hitajika, iishio kinachotoa muhtasari na uamuzi wa jumla kulingana na matokeo ya utafiti. Sura ya kwanza ni utangulizi wa utafiti. Utangulizi wa sura hii unatoa maelezo machache kuhusu mtaa wa Kariobangi South (tulikofanyia utafiti) na wakazi wake. Katika sura hii pia tumejadili somo letu la utafiti, madhumuni yetu ya kuufanya utafiti huu na upeo wa tasnifu. Zaidi ya hayo pia 'tumeelezea kuhusu nadharia tunayoitumia kama kigezo cha kupirnia matumizi ya lugha. Katika sehemu ya 'Yaliyofanywa kuhusu somo', tunajadili baadhi ya kazi zingine zilizofanywa na kuandikwa na ambazo, kwa namna
    URI
    http://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/18319
    Citation
    Master of Arts
    Publisher
    University of Nairobi
     
    Department of Kiswahili
     
    Collections
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM) [24587]

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback

     

     

    Useful Links
    UON HomeLibrary HomeKLISC

    Browse

    All of UoN Digital RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback