• Login
    • Login
    Advanced Search
    View Item 
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Mada: "mofofonolonjia ya kiswahili sanifu``: mathalani kikuyu ya kabete ulinganishi

    Thumbnail
    View/Open
    Full-text (3.503Mb)
    Date
    1992
    Author
    Njuguna, Margaret W
    Type
    Thesis
    Language
    en
    Metadata
    Show full item record

    Abstract
    Kazi hii imelenga kulinganisha halia za Kisauti ambazo zipo katika Kiswahili sanifu na Kikikuyu sanifu. Hata hivyo tumeona umuhimu wa kulinganisha Kikikuyu sanifu, na Kikikuyu cha Kabete. Lahaja hizi zipo chini ya lahaja ya kusini, kwa mujibu wa Karega (1977). Katika utangulizi, sura ya kwanza,tumepina Kikikuyu sanifu na Kikikuyu cha Kabete katika viwango vya fonetiki, na mofolojia na kupata matokeo sawa. Tukataka basi kuipa uzito kazi hii kwa kulinganisha na Kiswahili sanifu kwani data zile zikitoa mshabaha na pia tukiona uzani zaLdd , katika kuchukua data ya lugha ambayo inayo wazungumzaji wazaliwa wake. Tunasema hivyo kwa sababu hatuwezi kutenga wazungumzaji wazaliwa wa Kikikuyu sanifu, tukasema "Ndio hawa". Hivi ni kutokana na [ambo kwamba, Iahaja moja huteuliwa iwe, au itumike kama lugha sanifu, ili kukidhi mahitaji rasmi ya uandishi na utangazaji katika muktadha wa lahaja nyingi, au kadha. Kwa jumla.lipo tatizo la kuweza kupambanua tofauti za kimatamshi kwa kutegemea maandishi ya kawaida au othografia ya lugha ya Kikikuyu sauti.
    URI
    http://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/18322
    Sponsorhip
    The University of Nairobi
    Publisher
    Department of Educational management
    Subject
    Mada: "mofofonolonjia ya kiswahili sanifu
    Mathalani Kikuyu ya Kabete:Ulinganishi
    Collections
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM) [24587]

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback

     

     

    Useful Links
    UON HomeLibrary HomeKLISC

    Browse

    All of UoN Digital RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback