• Login
    • Login
    Advanced Search
    View Item 
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Maudhui mbalimbali katika nyimeo za John Mwale

    Thumbnail
    Date
    1991
    Author
    Yalwala, Pamela M
    Type
    Thesis
    Language
    other
    Metadata
    Show full item record

    Abstract
    Tasnifu yetu imejishughulisha na maudhui mbalimbali katika nyimbo za John Mwale.Madhumuni yalikuwa ni kuangalia mchango wa nyimbo hizi kama aina mojawapo ya fasihi ya Kiswahili. Tuna jumla ya sura nne, historia ya mwimbaji na nyimbo tulizozipitia. Sura ya kwanza inaelezea mada ya tasnifu historia fupi ya mwimbaji madhumuni yake, sababu za kulichagua soma hili, mpaka wa tasnifu, msingi wa nadharia, yaliyoandikwa kuhusu soma hili na njia za utafiti. Sura ya pili ni juu ya historia pamoja na miktadha mbalimbali ya nyimbo, aina ya nyimbo, nyimbo za kazi, nyimbo za kisasa na hitimisho. Sura ya tatu ni uchambuzi wa maudhui mbalimbali katika nyimbo tulizoangalia. Sura ya nne ni hitimisho pamaja na mapendekezo ya mhakiki juu ya maswala mbalimbali ya aina ya fasihi hii. Nyimbo zilizotumiwa zimewekwa mwisho wa tasnifu hii kama Ambatisho.
    URI
    http://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/18336
    Citation
    Master of Arts
    Publisher
    University of Nairobi
     
    Department of Kiswahili
     
    Collections
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM) [24587]

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback

     

     

    Useful Links
    UON HomeLibrary HomeKLISC

    Browse

    All of UoN Digital RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback