• Login
    • Login
    Advanced Search
    View Item 
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Makosa ya kisintaksia katika tafsiri za makala magazetini

    Thumbnail
    Date
    2005
    Author
    Kaviti, Fridah M
    Type
    Thesis
    Language
    en
    Metadata
    Show full item record

    Abstract
    Tasnifu hii inashughulikia tafsiri za habari zilizotafsiriwa kutoka Kiingereza hadi Kiswahili. Tumetumia magazeti ya Daily Nation na Taifa Leo. Utafiti wetu umechunguza jinsi sintaksia isiposawazishwa ipasavyo katika tafsiri, inaathiri uwasilishaji wa ujumbe na maana iliyonuiwa na mwandishi wa makala asilia. Tasnifu hii imejengeka katika sura lano. Sura ya kwanza ni utangulizi ambao unaelezea kuhusu suala la utafiti, madhumuni ya utafiti, ufafanu!l. wa Nadharia, Nadharia tete na jinsi tuhvvoendesha utafiti wetu. Katika sura ya pili tumeelezea dhana rr.ba!i mbali arnbazo zinalenga mada yetu ya utafiti. Turneyabedili masiala ya kimsingi hasa katika kuielewa dhana ya tafsiri. Sura ya tatu na ya nne ndicho kiini cha kazi yetu. Ni uchambuzi wa makala rnahususikutoka magazeti ya Daily Nation na makala - tafsiri katika Taifa Leo. Katika sura ya tatu turneshughulikia sentensi na vipashio vyake; vishazi, virai na neno. Sura ya nne tumeshughulikia vipashio vingine muhimu vya kisintaksia katika tafsiri, dhzmlra, hall, njeo na usawazishi wa IJtamaduni katika lugha. Sura,ya tano ni hitimisho. Tumeeleza matokeo ya utafiti wetu na athari zake, yaliyojitokeza kuhusu nadharia tete, ufaaji wa mwongozo wetu wa utafiti na kisha tumetoa mapendekezoyetu.
    URI
    http://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/18368
    Citation
    Tasnifij hii imetolewa ili kutosheleza baadhi ya mahitaji ya shahada ya uzamili 'masters of arts'
    Publisher
    Department of Arts-Kiswahili
    Collections
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM) [24587]

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback

     

     

    Useful Links
    UON HomeLibrary HomeKLISC

    Browse

    All of UoN Digital RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback