• Login
    • Login
    Advanced Search
    View Item 
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Sintaksla ya virai vya kiswahili sanifu na kikikuyu cha kabete - ulinganishi

    Thumbnail
    Date
    2002
    Author
    Kamau, Sammy M
    Type
    Thesis
    Language
    en
    Metadata
    Show full item record

    Abstract
    Lengo la kazi hii ni kulinganisha miundo ya virai baina ya Kiswahili sanifu na Kikikuyu cha Kabete. Hii ni kwa kutumia nadharia sanifu ya Sarufi Geuzi Maumbo Zalishi kulingana na Chomsky (1965) 'Aspects of the Theory of Syntax'. Tumegawanya kazi yetu katika sehemu tano. Sura ya kwanza ni utangulizi ambapo tunapata mada yenyewe na msingi wa lugha zote mbili yaani Kiswahili sanifu na Kikikuyu cha Kabete. Katika sura ii pia tumethibitisha kuwa Kikikuyu sanifu ndicho Kikikuyu cha Kabete. Mambo mengine yaliyoshughulikiwa katika sura hii ni sababu za kulichagua somo hili, upeo na mipaka, udurusu wa maandishi, nadharia tete na njia za utafiti. Sura ya pili infafanua dhana ya virai na kisha kuchanganua miundo ya virai vya Kiswahili sanifu. Miundo hii imechanganuliwa kwa kutumia nadharia sanifu. Sura ya tatu inahusu uchanganuzi wa miundo ya virai katika Kikikuyu cha Kabete. Hii ni kwa kuzingatia nadharia sanifu ya SGMZ. Sura ya nne inahusu ulinganishi wa miundo ya virai baina ya Kiswahili sanifu na Kikikuyu cha Kabete. Sura hii inaelezea kufanana na kutofautiana katika miundo ya virai. Sura hii pia inaelezea kaida ya nadharia sanifu na kuonyesha ikiwa miundo ya virai katika Kiswahili sanifu na Kikikuyu cha Kabete inakaidi sintaksia ya nadharia sanifu.
    URI
    http://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/18394
    Citation
    Master of Arts
    Publisher
    University of Nairobi.
     
    Department of Linguistics and Languages
     
    Collections
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM) [24587]

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback

     

     

    Useful Links
    UON HomeLibrary HomeKLISC

    Browse

    All of UoN Digital RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback