• Login
    • Login
    Advanced Search
    View Item 
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Kikundi nomino cha kiswahili: mtazamo wa sintaksia ya 'x-bar'

    Thumbnail
    View/Open
    FullText (68.51Mb)
    Date
    1997
    Author
    Olali, Tom M
    Type
    Thesis
    Language
    en
    Metadata
    Show full item record

    Abstract
    Matlaba ya tasnifu hii ni kufanya uehanganuzi wa kiufafanuzi wa kikundi nomino eha Kiswahili kwa kutumia nadharia ya sintaksia ya 'X-Bar' Katika kiolezofaridi eha nadharia ya sarufi geuzamaumbo sanifu panuzi. Tumeibawibu kazi hii katika sura tano. Katika sura ya kwanza, tunatoa maelezo ya kimsingi yanayohusu kikundi nomino eha Kiswahili. Aidha, sura hii inaeleza somo la utafiti, madhumuni ya utafiti na upeo wa tasnifu. Mambo mengine ambayo yanaangaliwa ni pamoja na sababu za kuliehagua somo, kikundi nomino kikiwa ni maarubu yetu, nadharia tete, yaliyoandikwa kuhusu somo hili, msingi wa nadharia na njia za utafiti. Sura ya pili inaehunguza mofolojia ya nomino ya Kiswahili. Unyambuaji na uambishaji ni dhana zinazopewa nafasi kubwa katika sehemu hii. Ngeli za nomino zinaehanganuliwa na upatanisho uliopo. Sura ya tatu inahusu uvumishaji wa nomino na kategoria tofauti za kisintaksia zinazohusiana na kikundi nomino. Kiini eha sura hii kiliangaza, hususan, maneno mbalimbali yanayovumisha nomino katika lugha ya Kiswahili. Sura ya nne inachunguza kwa tafsili kikundi nomino eha Kiswahili. Mifumo miwili ya kuwakilisha miundo ya kategoria inatumika. Mifumo hiyo ni kiunzi eha sarufi muundo virai na kiunzi eha 'X-bar'. Hata hivyo mfumo wa sarufi muundo virai ulitumika tu kama msingi na kitangulizi cha sintaksia ya X-bar ambayo tumeitumia kukiehanganua kikundi nomino eha Kiswahili. Sura ya tano ni hitimisho jumuishi ambapo matokeo ya utafiti wetu yanaelezwa. Nadharia tete zetu zinaangaliwa na mapendekezo yanatolewa kuhusiana na kipengele eha sintaksia, hususan kikundi nomino cha Kiswahili.
    URI
    http://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/18423
    Citation
    Master of Arts
    Publisher
    University of Nairobi.
     
    Faculty of Arts Kiswahili
     
    Collections
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM) [24587]

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback

     

     

    Useful Links
    UON HomeLibrary HomeKLISC

    Browse

    All of UoN Digital RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback