• Login
    • Login
    Advanced Search
    View Item 
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Kiswahili katika shule za upili chini ya mfumo wa 8-4-4:- utafiti katika jiji la Nairobi

    Thumbnail
    View/Open
    FullText (39.90Mb)
    Date
    1992
    Author
    Maina, Florence M
    Type
    Thesis
    Language
    en
    Metadata
    Show full item record

    Abstract
    Tasnifu hii ni utafiti juu ya Kiswahili katika shule za upili chini ya mfumo wa 8-4-4 uliofanyiwa katika jiji la Nairobi. Madhumuni yake ni kuangalia masiala yanayohusu, Kiswahili katika shule za upili chini ya mfumo wa 8-4-4. Imegawanyika katika sura nne. Katika sura ya kwanza kuna mada ya tasnifu, madhumuni ya tasnifu, sababu za kuchagua somo, upeo wa kazi hii, msingi wa kinadharia, ya1iyoandikwa kuhusu swa1a hili, njia za utafiti, matatizo ya utafiti, njia za kuchagua sampuli na mwisho haipothesia. Sura ya pili ni maelezo juu ya sera za lugha ya elimu nchini Kenya kabla na baada ya uhuru, Kiswahili Katika mfumo wa 8-4-4 na vile vile mambo yapaswayo kuzingatiwa katika utekelezaji wa mradi mpya. Katika kazi hii tutatilia maanani somo la Kiswahili. Sura ya tatu ni matokeo ya utafiti kwa jumla. Ina matokeo ya hojaji na uchanganuzi wa data. Pamoja na rnatatizo na yanayokikabili Kiswahili na matatuzi yake • Sura ya nne, ni hitimisho ambayo zaidi ni rnaoni na mapendekezo ya mtafiti juu ya maswali mbali mbali yanayotokana na data Lli.yokusanywa katika utafiti. Marejeo yametolewa baada ya sura ya nne na rnwi.shokabisa ni nakala ya hoj aj iliyotumiwa kama kiongezo.
    URI
    http://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/18434
    Publisher
    Department of Linguistics and African Languages, University of Nairobi
    Description
    'Master of Arts'
    Collections
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM) [24587]

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback

     

     

    Useful Links
    UON HomeLibrary HomeKLISC

    Browse

    All of UoN Digital RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback