• Login
    • Login
    Advanced Search
    View Item 
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Uhakiki wa bina-damu! (2002) na Musaleo! (2004) na K.W. Wamitila.

    Thumbnail
    View/Open
    Full-text (3.417Mb)
    Date
    2005
    Author
    Nyabunga, Vince A
    Type
    Thesis
    Language
    en
    Metadata
    Show full item record

    Abstract
    Utafiti huu umeshughulikia suala la uhalisiajabu katika riwaya za fasihi ya Kiswahili. Riwaya zilizohakikiwa ni Bina-Adamu!(2002) na Musaleo!(2004) za K.W. Wamitila. Nadharia ilyoongoza utafiti huu ni kitengo kimoja cha mwelekeo wa usasaleo. Hii ni nadharia ya . uhalisirjabu, matukio yanasawiriwa kiajabuajabu, ya kuogofya na kutisha. Matukio haya huashiria hali halisi ya maisha katika jamii. Uhalisiajabu ni mtindo wa riwaya wa hivi majuzi unaopiku njia za kimapokeo za uandishi wa fasihi ya Kiswahili na usawiri wa jamii. Kimapokeo, riwaya inapaswa kujengeka katika misingi ya uhalisia. Tasnifu hii inajumla ya sura tano. Sura ya kwanza ni utangulizi wa utafiti. Hapa ndipo tumeshughulikia mada ya utafiti, malengo yake, sababu za kuchagua mada na yaliyoandikwa kuhusu somo hili. Aidha, tumejadili upeo na mipaka ya utafiti huu na misingi ya nadharia iliyotuongoza; rnwishowe tumeeleza mbinu za utafiti. Sura ya pili imejadili maisha ya mwandishi, K. W. Wamitila. Tumeonyesha vipindi mbalimbali vya uandishi wake. Uchunguzi huu umedhamiria kuonyesha mitindo aliyoitumia tangu aanze kuandika na kuonyesha ni kwenye kipindi gani cha uandishialiingilia uandishi wa kihalisiajabu na kwa nini alifanya hivyo. Sura ya tatu na ya nne zinachunguza namna riwaya hizi mbili zimetumia uhalisiajabu katika kuwasilisha ujumbe. Tumeonyesha mihimili ya nadharia ya uhalisiajabu aliyoitumia. Mihimili hii ni pamoja na matukio ya kiajabuajabu, ndoto na uhalisia, uduara wa wakati, visasili, uvunjaji wa mipaka ya mahali na upekee wa mtindo wa riwaya ya kihalisiajabu. Sura ya tano imehakii na kulinganisha na kulinganua Eiwaya zote mbili kwa mujibu wa mada husika. Aidha, matokeo ya utafiti, matatizo yaliyokabiliwa katika utafiti na mapendekezo, yametolewa katika sura hii.
    URI
    http://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/18470
    Citation
    M.A (Swahili) 2005 Thesis
    Sponsorhip
    University of Nairobi
    Publisher
    Depatment of Linguistics, University of Nairobi
    Description
    Master of Arts Thesis
    Collections
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM) [24587]

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback

     

     

    Useful Links
    UON HomeLibrary HomeKLISC

    Browse

    All of UoN Digital RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback