• Login
    • Login
    Advanced Search
    View Item 
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Ulinganisho wa muundo wa kikundi nomino cha kiswahili sanifu na wacha Kikuyu cha Kabete.

    Thumbnail
    Date
    1999
    Author
    Gicheru, Dominic K
    Type
    Thesis
    Language
    en
    Metadata
    Show full item record

    Abstract
    Katika tasnifu hii tumelinganisha muundo wa Kikundi Nomino cha Kiswahili Sanifu na ule wa Kikuyu cha Kabete huku tukionyesha kufanana na kutofautiana kwake. Hivyo basi tasnifu hii imejikita katika Isimu Linganishi. Sura ya kwanza ni utangulizi wa utafiti ambamo kumejadiliwa mambo kama; Somo la utafiti, maelezo mafupi kuhusu lahaja ya Kikuyu cha Kabete (KK) na Kiswahili Sanifu (KS), madhumuni ya somo tunaloshughulikia, upeo wa somo la utafiti, mipaka ya somo la utafiti pamoja na yale yaliyoandikwa kuhusu somo hili. Pia katika sura hiyo tumezitoa sababu zetu za kuamua kushughulikia somo hili, haipothesia zetu, msingi wa nadharia, pamoja na njia za kufanyia utafiti. Sura ya pili inashughulikia aina za nomino zinazopatikana katika KS na KK pamoja na kufafanua ya nomino hizo kwa njia ya kiulinganisho. Katika sura ya tatu, tumelinganisha muundo wa vipashio vya Kikundi Nomino katika lugha hizi mbili huku tukifafanua na kulinganisha sheria za kiisimu zinazotawala muundo wa vipashio hivyo. Katika ya nne tumejadili kwa undani upatanisho wa kisarufi katika KN cha KS na cha KK kwa njia ya kiulinganisho. Pia tumejadili upatanisho wa kisarufi kati ya KN na KT katika sentensi sahili za KK na KS. Mwisho tumeangalia suala la toni kwa kifupi katika lugha hizi. Katika sura ya tano tumehitimisha kazi hii huku tukitoa mapendekezo kwa watafiti wa siku zijazo.
    URI
    http://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/18795
    Citation
    M.A (Swahili) 1999 Thesis
    Sponsorhip
    University of Nairobi
    Publisher
    Depatment of Linguistics, University of Nairobi
    Description
    Master of Arts Thesis
    Collections
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM) [24587]

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback

     

     

    Useful Links
    UON HomeLibrary HomeKLISC

    Browse

    All of UoN Digital RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback