• Login
    • Login
    Advanced Search
    View Item 
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Dhana ya maisha katika novela mbili za Euphrase Kezilahabi: Nagona na mzingile

    Thumbnail
    View/Open
    Full-text (2.603Mb)
    Date
    1999
    Author
    Mungah, Charles I
    Type
    Thesis
    Language
    other
    Metadata
    Show full item record

    Abstract
    Tasnifu hii imechunguza suala la maisha kati ya maudhui mengine katika novel a mbili za kezilahabi • Nagana na Mzingile. Tasnifu hii ina sura tano. Katika sura ya kwanza tumebainisha tatizo la utafiti. Aidha tumebainisha madhurnuni ya tasnifu, sababu za kuchagua mada hii pamoja na mipaka ya kazi hii. Waaidha tumefanya udurusu wa yalioandikwa kuhusu mada hii. Nadharia ambayo tumetumia ni ya kisosholojia ambayo baadhi ya kanuni zake ru kusaili mazmgira kazi ya kifasihi ilimoibuka na mazrngira alimoandikia msanii. Sura ya pili imeonyesha juhudi mbalirnbali za binadamu maishani katika kujaribu kuelezea ukweli na uhalisi wa maisha yake. Juhudi za mashujaa vilevile na asasi mbalimbali zimejadiliwa Elimu ya mwanadarnu na mipak a yake katika kuelezea maana ya maisha imezungumziwa. inaweza kupatikana maishani mwa binadarnu Hatimaye sura hii imechunguza na kujadili dhana ya ukweli kama ambavyo msanii huyu amelisawiri suala hili katika Nagona na Mzingile. Katika sura ya nne tumeonyesha vile ambavyo mwandishi ameathiriwa na mazingira alimoandikia na kuyamithilisha na mazingira ya kipindi ambacho udhanaishi uliweza kupata mwamko mpya huko Magharibi Aidha umebainisha kuwa maisha ya msanii huyu na athari alizopata kutoka kwa waandishi na watetezi wa udhanaishi yameathiri mtazamo wake wa maisha vikubwa. Hatimaye katika sura ya tano tumehitimisha kwa kutoa maoni yetu kwa ujumla kuhusu kazi hizi pamoja na masuala muhimu ambayo tumeyajadili katika sura za mwanzo. Aidha tumependekeza kazi hizi zifanyiwe uhakiki zaidi hasa kwa upande wa fani
    URI
    http://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/21045
    Citation
    Master of Arts
    Publisher
    University of Nairobi
     
    Faculty of Arts Kiswahili
     
    Collections
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM) [24587]

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback

     

     

    Useful Links
    UON HomeLibrary HomeKLISC

    Browse

    All of UoN Digital RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback