• Login
    • Login
    Advanced Search
    View Item 
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Uhakiki wa kifani katika utenzi wa siri li asirali na utenzi wa mwana Fatuma

    Thumbnail
    Date
    2005
    Author
    Wepoh, Eric W
    Type
    Thesis
    Language
    other
    Metadata
    Show full item record

    Abstract
    Kazi hii tumeibawibu katika sura nne. Katika sura ya kwanza tumeangazia tatizo letu la utafiti, sababu za kulichagua somo hili, madhumuni yetu, na nadharia tete zinazotuongoza. Vilevile katika sura hii tumeeleza yaliyoandikwa kuhusu somo hili, upeo na mipaka ya utafiti wetu, mbinu tulizotumia kutafiti pamoja na msingi wa nadharia ambayo tumetumia. Katika sura ya pili, tumejadili misingi mbalimbali ya uhakiki wa kifani. Tumeeleza maana zake na jinsi misingi yenyewe inavyotumika katika uhakiki wa kifani. Katika sura ya tatu, tumezihakiki tenzi hizi mbili ; Utenzi wa Siri Li Asirali na Utenzi wa Mwana Fatuma kwa kutumia misingi ya uhakiki wa kifani kama tulivyoifafanua katika sura ya pili. Na katika sura ya nne, ambayo ndio ya mwisho, tumetathmini matokeo ya utafiti wetu pamoja na kutoa mapendekezo ya utafiti zaidi.
    URI
    http://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/21093
    Citation
    Master of Arts
    Sponsorhip
    University of Nairobi
    Collections
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM) [24587]

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback

     

     

    Useful Links
    UON HomeLibrary HomeKLISC

    Browse

    All of UoN Digital RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback