• Login
    • Login
    Advanced Search
    View Item 
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Uhakiki Wa Maudhui Teule Katika Utenzi Wa Nabii Isa

    Thumbnail
    View/Open
    Full Text (264.8Kb)
    Date
    2013
    Author
    Owallah, Kennedy O
    Type
    Thesis
    Language
    en
    Metadata
    Show full item record

    Abstract
    Utafiti huu unahusu uchanganuzi wa maudhui teule katika Utenzi wa Nabii Isa. Huu ni utenzi wa miaka ya (1970) lakini una uyakinifu katika jamii ya kisasa kimaudhui. Kazi hii imegawika katika sura tano. Katika sura ya kwanza tumeshughulikia mambo ya kiutangulizi ambayo yanahusu mada ya utafiti, tatizo la utafiti, madhumuni ya utafiti, sababu za kuchagua mada hii, nadharia tete, upeo na mipaka, msingi wa kinadharia na njia za utafiti. Katika sura ya pili, tumefafanua dhana ya maudhui na baadaye kuangalia baadhi ya mihimili inayotumika kama nguzo dhabiti za maudhui. Mihimili hii ndiyo imeweka msingi wa kukuza zaidi na kuendeleza sura ya tatu kwa kuonyesha msingi wa kukusanya na kuchanganua data ya utafiti wetu. Sura ya tatu inahusu uchangunuzi wa maudhui teule katika Utenzi wa Nabii Isa. Baada ya kuyachanganua maudhui haya katika sura hii. Sura yetu ya nne imejadili jinsi ambavyo maudhui haya yameibua athari katika utenzi wenyewe na vilevile uyakinifu wake katika jamii ya kisasa. Sura ya tano na ya mwisho ni ya hitimisho la utafiti wetu. Katika sura hii, tumetoa mapendekezo ya utafiti wa kimaudhui zaidi katika Utenzi wa Nabii Isa.
    URI
    http://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/58949
    Citation
    shahada ya uzamili (m.a)
    Publisher
    University of Nairobi
     
    IDARA YA ISIMU NA LUGHA.
     
    Description
    Tasnifu hii imetolewa ili kutosheleza baadhi ya mahitaji ya shahada ya uzamili (m.a) katika chuo kikuu cha Nairobi.
    Collections
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM) [24587]

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback

     

     

    Useful Links
    UON HomeLibrary HomeKLISC

    Browse

    All of UoN Digital RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback