• Login
    • Login
    Advanced Search
    View Item 
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Nafasi ya mwanamke: Jinsi inavyotetewa katika nyimbo za taarab za zanzibar

    Thumbnail
    View/Open
    Full text.pdf (324.5Kb)
    Date
    2013-06
    Author
    Yego, Elizabeth K
    Type
    Thesis
    Language
    other
    Metadata
    Show full item record

    Abstract
    Utafiti huu unahusu uchambuzi wa maudhui katika nyimbo za taarab za Kibiriti Upele na Tupendane Wabaya Waulizane.Nyimbo hizi ziliimbwa na Mwanaidi Shaaban na Mzee Yusuf. Kazi hii imegawanywa katika sura sita.Katika sura ya kwanza tumeangazia maswala muhimu ya utafiti wetu.Tumeelezea swala la utafiti,madhumuni na nadharia tete zilizotuongoza.Aidha sababu za utafiti zimeelezwa pamoja na upeo na mipaka.Msingi wa nadharia wa utafiti umefafanuliwa na yaliyoandikwa kuhusu mada yalijadiliwa.Mwisho,mbinu za utafiti zimebainishwa na uchanganuzi wa data umefanywa. Katika sura ya pili tulitanguliza kwa kueleza maana ya fani ya wimbo pamoja na kuzitolea maelezo ya aina mbalimbali za fani hii.Tumewarejelea wataalamu mbalimbali walioshughulikia fani hii. Sura ya tatu na nne zimebainisha maudhui kwa kina katika nyimbo za Kibiriti Upele na Tupendane Wabaya Waulizane mtawalia. Katika sura ya tano tumebainisha matumizi ya lugha katika kuwasilisha ujumbe wa waimbaji kwa hadhira.Sura ya sita ni hitimisho.Matokeo ya uchunguzi yalielezwa na mapendekezo ya uchunguzi zaidi yakatolewa.
    URI
    http://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/59589
    Citation
    Shahada Ya Uzamili Katika Chuo Kikuu Cha Nairobi Juni, 2013
    Publisher
    Idara Ya Isimu Na Lugha
    Collections
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM) [24587]

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback

     

     

    Useful Links
    UON HomeLibrary HomeKLISC

    Browse

    All of UoN Digital RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback