• Login
    • Login
    Advanced Search
    View Item 
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Matumizi ya usonde nafsi na usonde jamii: mtazamo wa uhusiano

    Thumbnail
    View/Open
    Full Text (220.3Kb)
    Date
    2013
    Author
    Okeyo, Juliet S
    Type
    Thesis
    Language
    en
    Metadata
    Show full item record

    Abstract
    MUHTASARI Utafiti huu umeshughulikia matumizi ya usonde nafsi na usonde jamii katika mawasiliano ya walimu na wanafunzi wa Kiswahili. Tumetumia nadharia ya uhusiano kwa sababu ya sifa ya usonde ya kutegemea muktadha kwenye ufasiri wa maneno yake. Vivyo hivyo tumechagua kutafitia usonde nafsi na usonde jamii ili kutathmini wazo la Marmaridou (2000) kuwa kategoria hizi mbili za usonde zina mtagusano kiasi cha kuchukuliwa kuwa ni kategoria moja. Utafiti huu ulifanywa kwa kutumia utafiti stahilifu kimaelezo kwa kuwa data ambayo ilikusanywa ilikuwa katika umbo la maneno tamkwa ya walimu na wanafunzi. Hatua zilizotumiwa katika ukusanyaji ni pamoja na kusikiliza, kurekodi na kuandika. Data ilichanganuliwa kwa kutumia utaratibu wa kusimba pronomino pamoja na hatua za uzulishaji katika utaratibu wa ufahamu katika nadharia ya uhusiano. Hatimaye utafiti huu umeshikilia kuwa, katika lugha ya Kiswahili kuna uhusiano kati ya usonde nafsi na usonde jamii hasa katika baadhi ya matumizi ya usonde nafsi. Kwa hivyo haipaswi kushikilia kuwa usonde nafsi na usonde jamii ni kategoria moja ya usonde.
    URI
    http://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/60247
    Citation
    Tasnifu hii imetolewa ili kutosheleza baadhi ya mahitaji ya shahada ya uzamili katika Chuo Kikuu cha Nairobi
    Publisher
    Idara Ya Kiswahili, University of Nairobi
    Collections
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM) [24587]

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback

     

     

    Useful Links
    UON HomeLibrary HomeKLISC

    Browse

    All of UoN Digital RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback