• Login
    • Login
    Advanced Search
    View Item 
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Uhakiki Wa Kimaudhui Na Kifani Wa Kidagaa Kimemwozea

    Thumbnail
    View/Open
    fulltext (309.4Kb)
    Date
    2013-11
    Author
    Rono, Pauline
    Type
    Thesis
    Language
    en
    Metadata
    Show full item record

    Abstract
    Tasnifu hii ilishughulikia uhakiki wa kifani na kimaudhui wa Kidagaa Kimemwozea ya Ken Walibora(2012). Tuliangalia maudhui na tulinuia kuonyesha mbinu zilizotumiwa katika kuwaumba wahusika na jinsi wahusika vijana walivyopigania kuondoa ukoloni mambo leo katika nchi ya Tomoko. Pamoja na hayo tulishughulikia nadharia tete ya uhakiki ambayo ni mhimili wa utafiti huu. Sababu za kuchagua mada pia zimeelezwa. Kazi yetu iliangazia maudhui, fani na wahusika. Kwa vile kuna njia nyingi za kuwasiri wahusika sisi tumejibana kwa wahusika wakuu, wasaidizi na wajenzi. Misingi ya nadharia za uhalisia wa kijamaa na umuundo imezingatiwa katika uhakiki wetu. Nadharia ya uhalisia wa kijamaa ni kwa mujibu wa wanafalsafa kama vile George Lukacs, Marxim Gorky, Zandnov na wengineo. Nadharia ya umuundo ni kwa mujibu wa Ferdinand De Saussure. Nadharia hii kuchunguza vipengele vya kazi ya sanaa, jinsi vinavyohusiana hadi kuikamilisha kazi hiyo. Huangalia namna sehemu mbalimbali za kazi ya sanaa zimefungamana. Mbinu za utafiti tulizotumia ni za maktabani ambapo tulirejelea makala mbalimbali yakiwemo majarida, tasnifu na vitabu kadha wa kadha.
    URI
    http://erepository.uonbi.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/60431
    Publisher
    University of Nairobi
     
    Department of Linguistics
     
    Description
    Tasnifu hii imetolewa ili kutosheleza baadhi ya mahitaji ya shahada ya uzamili katika Chuo Kikuu cha Nairobi
    Collections
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM) [24587]

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback

     

     

    Useful Links
    UON HomeLibrary HomeKLISC

    Browse

    All of UoN Digital RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback