• Login
    • Login
    Advanced Search
    View Item 
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Athari za kidini katika utenzi wa rasi'lghuli

    Thumbnail
    View/Open
    Full text.pdf (99.00Kb)
    Date
    2013
    Author
    Muriithi,Kariuki J.
    Type
    Thesis
    Language
    en
    Metadata
    Show full item record

    Abstract
    Utafiti huu unahusu uchanganuzi wa athari za kidini katika Utenzi wa Rasi 'IGhuli, utenzi huu ni mrefu na wa zamani lakini una uyakinifu katikajamii ya kisasa. Tasnifu hii imegawika katika sura tano. Katika sura ya kwanza, tumeshughulikia mambo ya kiutangulizi ambayo yanahusu mada ya utafiti, madhumuni ya utafiti, nadharia tete, sababu za kuchagua mada, upeo na mipaka, msingi wa kinadharia, yaliyoandikwa kuhusu mada na njia za utafiti. Katika sura ya pili, tumechanganua athari hasi mbali mbali zinavyojitokeza katika Utenzi wa Rasi TGhuli. Katika sura ya tatu, tumechanganua athari chanya mbali mbali zinavyojitokeza katika Utenzi wa Rasi'IGhuli. Sura ya nne, imeangaziajinsi athari za kidini zinavyoathiri maisha katikajarnii kwa kurejelea utenzi na pia uyakinifu wazo katikajarnii. Sura ya tano ni hitirnisho, katika sura hii, tumetoa muhtasari wa maoni kuhusu tasnifu hii pamoja na mapendekezo ya kufanyiwa utafiti zaidi.
    URI
    http://hdl.handle.net/11295/63119
    Publisher
    Unversity of Nairobi
    Collections
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM) [24587]

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback

     

     

    Useful Links
    UON HomeLibrary HomeKLISC

    Browse

    All of UoN Digital RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback