• Login
    • Login
    Advanced Search
    View Item 
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Ukuaji wa muundo na mawazo katlka tamthilia za Timothy Arege mtazamo wa umuundo

    Thumbnail
    Date
    2013
    Author
    Ndege, Magati Charles
    Type
    Thesis
    Language
    en
    Metadata
    Show full item record

    Abstract
    Utafiti huu umechunguza ukuaji wa muundo na mawazo katika tamthilia za Timothy Arege. Tamthilia zilizoteuliwa kuhakikiwa ni tatu. Nazo ni: Cham chela (2007), Kijiba cha Moyo(2009) na Mstahiki Meya (2011 ) Sura ya kwanza ni utangulizi, tatizo la utafiti, madhumni ya utafiti, nadharia tete, upeo na mipaka na msingl wa nadharia. Pia, tumejumuhisha yaliyoandikwa kuhusu mada, na mbinu za utafiti zizotumika katika kazi hii. Sura ya pili imeshughulikia msuko kama rnojawapo wa vipengele vya muundo na mchango wake katika tamthilia za Arege. Tumetanguliza kwa kuangazia dhana ya msuko, kanuni za ploti pamoja na mchango wao katika kuendeleza ukuaji wa muundo na mawazo katika tamthilia za Arege. Sura ya tatu imeangazia mchango wa wahusika katika kuendeleza dhamira na maudhui. Tumeshughulikia majukumu yao na mchango wao katika kuibua maudhui na dhamira. Sura ya nne nayo imeshughulikia mchango wa matumizi ya lugha katika kudhihirisha ukuaji wa muundo na mawazo katika tamthilia za Arege. Tumeshughulikia tamathali za lugha kama vile tashihisi, balagha, uzungumzinafsia, kuchanganya ndimi, tashbihi, dhihaka, methali, mdokezo, sitiari na kinaya. Sura ya tano inatoa muhtasari wa matokeo ya utafiti na mapendekezo ya tafiti za baadaye.
    URI
    http://hdl.handle.net/11295/63207
    Citation
    Ndege Magati Charles (2013). Ukuaji Wa Muundo Na Mawazo Katlka Tamthilia Za Timothyarege Mtazamo Wa Umuundo. Shahada Ya Uzamili
    Publisher
    University of Nairobi
    Collections
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM) [24587]

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback

     

     

    Useful Links
    UON HomeLibrary HomeKLISC

    Browse

    All of UoN Digital RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback