• Login
    • Login
    Advanced Search
    View Item 
    •   UoN Digital Repository Home
    • Journal Articles
    • Faculty of Arts & Social Sciences (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    •   UoN Digital Repository Home
    • Journal Articles
    • Faculty of Arts & Social Sciences (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Riwaya ya Kiswahili kama Tahakiki ya Jamii Baada-ukoloni

    Thumbnail
    Date
    2012
    Author
    Mbatiah, M
    Type
    Article
    Language
    en
    Metadata
    Show full item record

    Abstract
    Makala haya yanachukulia kwamba mwandishi wa Kiswahili haandiki tu kwa ajili ya kuandika bali huandika kukidhi mahitaji ya jamii anayoiandikia. Makala yanarejelea jamii pana ya Afrika Mashariki inayotumia lugha ya Kiswahili. Jamii ya mwandishi pia inaweza kuwa nchi mojawapo ya Afrika Mashariki. Tunatambua kwamba fasihi ya Kiswahili ina hadhira pana zaidi kwa maana ya kuwa inaweza kusomwa mahali popote ulimwenguni. Hata hivyo, mwandishi wa Kiswahili huilenga kwanza jamii yake. Hili ni jambo ambalo waandishi wengi wamekiri. Euphrase Kezilahabi, kwa mfano, amesema kwamba huwaandikia Watanzania, hasa wakulima wa mashambani.i Njia mojawapo ya mwandishi kutimiza matarajio ya jamii anayoiandikia ni kumulika kiini cha matatizo na uozo wa jamii inayohusika. Mwandishi hujaribu kujibu maswali kama vile: Kwa nini Mwafrika anatupa utamaduni wake na kuabudu Uzungu? Kwa nini mataifa huru ya Kiafrika hayawezi kujitegemea kiuchumi? Kwa nini maovu kama dhuluma, ufisadi na utawala mbaya yanazidi kuenea? Jawabu la maswali haya na mengine mengi, linahusiana na historia yetu, hasa kutawaliwa kikoloni. Waandishi wengi wa riwaya ya Kiswahili wanashughulikia athari hizi za ukoloni katika jamii zao. Hili ndilo suala ambalo makala haya yanajadili kwa kutumia data ya riwaya nne
    URI
    http://www.ajol.info/index.php/kcl/article/view/90673
    http://hdl.handle.net/11295/70545
    Citation
    Kioo cha Lugha Vol 10, No 1 (2012)
    Collections
    • Faculty of Arts & Social Sciences (FoA&SS / FoL / FBM) [6704]

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback

     

     

    Useful Links
    UON HomeLibrary HomeKLISC

    Browse

    All of UoN Digital RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback