• Login
    • Login
    Advanced Search
    View Item 
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Sajili ya maafisa wa polisi: tathmini ya matumizi ya lugha ya kiswahili katika kituo cha Polisi cha Central, Nairobi

    Thumbnail
    View/Open
    Fulltext (339.1Kb)
    Date
    2014
    Author
    Binyanya, Ruth M
    Type
    Thesis; en_US
    Language
    en
    Metadata
    Show full item record

    Abstract
    Utafiti huu ulilenga kubainisha sajili ya maafisa wa polisi kwa kujikita katika lugha ya Kiswahili. Kazi yetu imepangiliwa katika sura tano ambapo sura ya kwanza tumeangazia utangulizi, sura ya pili tumeshughulikia dhana tunazotumia katika utafiti, sura ya tatu tumeonyesha na kubainisha data kwa mujibu wa nadharia yaBernstein ya misimbo na nadharia ya Giles ya maafikiano ambapo tumeangazia mazungumzo baina ya maafisa wa polisi wenyewe. Sura ya nne tumeonyesha na kuchanganua data kwa mujibu wa nadharia ya vitendo usemi kama ilivyoelezwa na Austin na Searle kwa kujikita katika mazungumzo baina ya maafisa wa polisi na wateja wao. Mazungumzo baina ya maafisa wa polisi yamedhihirisha matumizi ya msimbo pana wanapozungumzia mambo ya kijumla kama vile siasa na elimu na matumizi ya msimbo finyu wanapozungumzia mambo ya usalama. Tumebainisha kuwa pana maafikiano baina ya maafisa wa polisi kama kikundi cha kijamii kutokana na matumizi yao ya lugha. Mazungumzo baina ya maafisa wa polisi na wateja wao yamedhihirisha kutokea kwa vitendo usemi ambavyo vinadhihirisha athari ya sajili ya maafisa wa polisi. Usemi wa maafisa wa polisi umedhihirisha vitendo usemi ambavyo huwa na sifa ya kutambulika kutokana na kinachosemwa na kani ya ilokusheni. Ili kutaka kujua athari ya kitendo fulani, sharti kuangalia kinachosemwa, kinasemwa wapi, na nani na kwa nani.
    URI
    http://hdl.handle.net/11295/75312
    Publisher
    University of Nairobi
    Description
    Thesis MA
    Collections
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM) [24587]

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback

     

     

    Useful Links
    UON HomeLibrary HomeKLISC

    Browse

    All of UoN Digital RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback