• Login
    • Login
    Advanced Search
    View Item 
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Mikakati ya upole katika vipindi vya Runinga: Mawaidha na Bi.Msafwari katika Runinga ya Citizen

    Thumbnail
    View/Open
    Full-text (666.3Kb)
    Date
    2014
    Author
    Raitania, Ann M
    Type
    Thesis; en_US
    Language
    Others
    Metadata
    Show full item record

    Abstract
    Upole ni suala muhimu sana katika kuanzisha na kudumisha mahusiano mema baina ya wanajamii. Ili kudumisha mahusiano hayo, wazungu mzaji wakati wote hulazimika kutumia mikakati mbalimbali ya upole ili kuokoa nyuso zao na za wenzao. Tasnifu hii ni uchunguzi wa jinsi mikakati ya upole ilivyotumika katika vipindi vya runinga kwa kuangazia vipindi vya Mawaidha na Bi.Msafwari katika runinga ya Citizen. Uchunguzi huu ulinuia kubainisha i wapo mazungumzo katika vipindi hivi hujali ma hitaji ya uso ya wahusika, pia kujadili mikakati ya upole iliyotumika katika vipindi hivi na vilevile kubai nisha iwapo nadharia ya uso ya Brown na Levinson (1978, 1987) inaweza kutumiwa kufafanulia mikakati hiyo. Ilibainika kuwa vipindi vya Mawaidha na Bi. Msafwari hujali mahitaji ya uso na nadharia ya upole ya uso ni msingi tosha wa kufafanulia mikakati husika ya upole. Kutokana na matokeo ya uchunguzi huu, tunapendekeza kuwa utafiti zaidi ufanywe kuhusiana na suala la upole katika vyombo mbalimbali vya habari kwa kutumia nadharia tofauti na vipengele tofauti vya nadharia hizo. Kwa hakika upole ni dhana muhimu sana katika kila mazungumzo kwani umuhimu wa kuokoa nyuso za wahusika hauwezi kusisitizwa zaidi hasa katika mazungumzo k wenye vipindi vya runinga ambavyo kwavyo maoni ya watazamaji pia hutiliwa maanani
    URI
    http://hdl.handle.net/11295/75617
    Publisher
    University of Nairobi
    Description
    Thesis
    Collections
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM) [24587]

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback

     

     

    Useful Links
    UON HomeLibrary HomeKLISC

    Browse

    All of UoN Digital RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback