Show simple item record

dc.contributor.authorKachipela, Dorice
dc.date.accessioned2014-11-28T11:21:38Z
dc.date.available2014-11-28T11:21:38Z
dc.date.issued2014
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/11295/75623
dc.description.abstractUtafiti huu ulihusu Athari za Sheng katika matokeo ya mtihani wa Kiswahili katika shule za msingi mtaa wa Kangemi. Kazi hii imegawanywa katika sura tano, Katika sura ya kwanza tumeangazia maswala muhimu ya utafiti wetu. Tumeelezea swala la utafiti, madhumuni na nadharia tete zilizotuongoza. Aidha, sababu za utafiti, zimeelezwa pamoja na upeo na mipaka. Mwisho, mbinu za utafiti zimebainishwa na uchanganuzi data kufanywa. Vile vile katika sura hii tumeweza kuangazia yaliyosemwa kuhusu Sheng na wataalam mbalimbali. Katika sura ya pili tumeangazia mbinu mbalimbali ambazo wanajamii wa lugha ya Sheng huzitumia katika kuunda misamiati yao. Aidha katika sura ya tatu tumeshughulikia nyenzo mbalimbali ambazo wanafunzi wa shule za msingi hujifunza Sheng kutokana nazo. Sura ya nne nayo tumechanganua data za matokeo ya mtihani ya Kiswahili ya kitaifa. Utafiti wetu umeweza kuangalia matokeo ya shule nne katika mtaa wa Kangemi. Sura ya tano ambayo ni ya mwisho, tumejikita katika matokeo ya utafiti, mahitimisho, mambo ibuka pamoja na mapendekezo ya utafiti wa baadaye.en_US
dc.language.isoenen_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.titleAthari Za Sheng Katika Matokeo Ya Mtihani Wa Kiswahili Katika Shule Za Msingi Mtaa Wa Kangemien_US
dc.typeThesisen_US
dc.type.materialen_USen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record