• Login
    • Login
    Advanced Search
    View Item 
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Uhakiki Wa Maudhui Na Mtindo Katika Tikitimaji

    Thumbnail
    View/Open
    Full text (399.8Kb)
    Date
    2014-11
    Author
    Muthoni, Margaret
    Type
    Thesis; en_US
    Language
    en
    Metadata
    Show full item record

    Abstract
    Tumefanya Uhakiki wa maudhui na mtindo katika Tikitimaji.Tumeangazia maudhui mbalimbali na lugha ya kitamathali iliyotumika kuendeleza dhamira na maudhui hayo. Utafiti wetu ulijikita katika Tikitimaji ila ilipotubidi kutoa mifano tuliangazia kazi nyingine kwa ufupi sana.Uchanganuzi wetu uliongozwa na nadharia mbili: Uhalisia uliotuongoza katika uchanganuzi wa maudhui na Umitindo uliotuongoza katika uchanganuzi wa mtindo. Katika utafiti wetu tuling’amua ya kwamba, jamii ya Tikitimaji ilikumbwa na changamoto nyingi ambazo wanajamii wanakabiliana nazo ili maisha yao yaweze kutengenea.Baadhi ya changamoto hizi ni uharibifu na uchafuzi wa mazingira, utelekezaji wa watoto, udhalimu na unyanyasaji, miundo msingi mibovu na mfumo mbaya wa uchukuzi, umaskini na athari zake, mchango wa vijana katika ujenzi wa jamii mpya na jinsi wanavyoshirikiana na wazee katika suala hili. Maudhui haya yameendelezwa kwa kutumia lugha yenye mvuto na mnato unaowavutia wasomaji na kuipa riwaya hii ujumi mwafaka. Utafiti wetu umegundua kwamba, masuala yanayowakabili wanatikitimaji ni ya kijamii, kiuchumi na kisiasa ambapo walala heri wanawanyanyasa walala hoi, jambo linalozua migogoro baina ya makundi haya mawili.Kundi la walala heri linapigania kuendeleza unyanyasaji nalo la walala hoi likikazana kujikombo
    URI
    http://hdl.handle.net/11295/75630
    Citation
    Shahada ya uzamili katika chuo kikuu cha Nairobi
    Publisher
    University of Nairobi
    Collections
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM) [24587]

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback

     

     

    Useful Links
    UON HomeLibrary HomeKLISC

    Browse

    All of UoN Digital RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback