• Login
    • Login
    Advanced Search
    View Item 
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Vitendo Usemi Na Ulinganifu Wa Maana Katika Tafsiri: Mifano Kutoka Tafsiri Za Kazi Mbili Teule Za Barbara Kimenye

    Thumbnail
    View/Open
    Full text (1.069Mb)
    Date
    2014
    Author
    Nyangeri, Nahashon A
    Type
    Thesis; en_US
    Language
    other
    Metadata
    Show full item record

    Abstract
    Huu utafiti ulihusu matumizi ya nadharia ya vitendo usemi kusuluhisha tatizo la ulinganifu katika tafsiri. Msisitizo ulitiliwa kwenye ngazi ya ilokusheni ambapo swali kuu lililoongoza utafiti wenyewe ni kutatokea nini iwapo nadharia ya vitendo usemi (VU) itahuruhijwa na kutumiwa kama msingi wa kushughulikia tafsiri ya Kiswahili? Nadharia ya VU inaweza kuwa faafu, iwapo, mihimili yake itaeleweka na jinsi VU huibuliwa katika lugha lengwa (LL). Miundo ya kuibua VU ambavyo tumeainisha kwa kuzingatia kielelezo cha Searle imeshughulikiwa. Nadharia za ulinganifu na ufasiri zimetumiwa kwenye uchunguzi huu. Ili kutathmini ufaafu wa nadharia yenyewe katika kusuluhisha matatizo ya utafiti, nadharia za ufasiri na ulinganifu zimetumiwa kuchunguza tafsiri za kazi mbili za Barbara Kimenye zilizoteuliwa kama kielelezo huku ukamilifu wa lugha katika mikabala ya isimu, fasihi na ishara ukizingatiwa. Mifano ya VU mbalimbali vinavyojitokeza kwenye kazi hizi imechanganuliwa. Pale kunakojitokeza usolinganifu, tunapendekeza tafsiri faafu kwa mujibu wa isimu tendaji. Tumesisitiza umuhimu wa kuzingatia vipengele vya pragmatiki katika uibushi wa maana ili kufanikisha mawasiliano.
    URI
    http://hdl.handle.net/11295/75737
    Citation
    Masters of arts in Kiswahili
    Publisher
    University of Nairobi
    Collections
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM) [24587]

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback

     

     

    Useful Links
    UON HomeLibrary HomeKLISC

    Browse

    All of UoN Digital RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback