• Login
    • Login
    Advanced Search
    View Item 
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Fani Katika Nyimbo Teule Za Anastacia Mukabwa

    Thumbnail
    View/Open
    Fulltext.pdf (293.6Kb)
    Date
    2014
    Author
    Mburu, James M
    Type
    Thesis; en_US
    Language
    other
    Metadata
    Show full item record

    Abstract
    Utafiti huu ulishughulikia fani katika nyimbo za Anastacia Mukabwa kwenye albamu yake kiatu kivue. Utafiti huu uliongozwa na msingi wa nadharia ya uhakiki wa kimtindo. Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa kuchunguza matumizi ya fani katika nyimbo za injili hasa kwa kumrejelea mtunzi Anastacia Mukabwa. Nyimbo ni mojawapo wa tanzu za fasihi simulizi ambazo zina mwelekeo wa matumizi ya lugha yenye sauti zenye mahadhi na midundo zilizotengwa ili kunasa hisia za hadhira. Nyimbo hunasibika kwa mpangilio maalum wa maneno, vipashio vya kiisimu, mada za kimaudhui, kupitia midundo maalum na ujenzi wa taswira. Nyimbo huwakilisha mawazo, fikra na falsafa ya mtunzi kwa njia inayosababisha changamoto na mawasiliano kwa hadhira lengwa. Kwa hivyo, tuna ushahidi wa kutosha kwamba nyimbo za Kiswahili zina ukwasi mkubwa wa vipengele vya kifani vinavyopaswa kuchunguzwa katika kiwango cha usomi. Utafiti huu ulishughulikia matumizi ya fani kama kipengele cha kisanaa katika kazi ya fasihi, ni kipengele kinachojenga umbo la kazi ya sanaa. Utafiti huu ulidhihirisha kwamba nyimbo za Anastacia Mukabwa zina ukwasi mkubwa wa fani kama vile wahusika, maudhui, mandhari, toni, tamadhali za semi, sitiari, ishara ,umbo na mtindo
    URI
    http://hdl.handle.net/11295/75763
    Citation
    Masters of Kiswahili
    Publisher
    University of Nairobi
    Collections
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM) [24587]

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback

     

     

    Useful Links
    UON HomeLibrary HomeKLISC

    Browse

    All of UoN Digital RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback