• Login
    • Login
    Advanced Search
    View Item 
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Matumizi Ya Istiari, Tashbiha Na Taashira Katika Diwani Ya Sauti Ya Dhiki

    Thumbnail
    View/Open
    Full-text (324.2Kb)
    Date
    2014
    Author
    Karanja, Margaret W
    Type
    Thesis; en_US
    Language
    other
    Metadata
    Show full item record

    Abstract
    Katika tasnifu hii tumeonyesha matumizi ya tamathali tatu za ulinganisho ambazo ni istiari, tashbiha na taashira katika diwani ya Sauti ya Dhiki iliyoandikwa na Abdilatif Abdalla (1973). Utafiti umeonyesha kwamba Abdilatif alitumia tamathali hizi tatu kati ya zingine ambazo hazijashughulikiwa katika utafiti kufikia dhamira yake kwa hadhira yake teule. Ni mashairi ishirini tu tumeshughulikia ambayo tulichagua kwa kutumia sampuli ya kusudi. Katika utafiti huu, nadharia ya uhakiki wa mtindo imetumika ambapo baadhi ya vigezo vyake vimehusika. Nadharia hii iliwezesha kuhakiki viashiria vilivyotumika kuunda tamathali za semi; istiari, tashbiha na taashira katika diwani ya Sauti ya Dhiki na kuvipa maana viashiria hivi. Matokeo ya utafiti ni kuwa mwandishi alitumia tamathali za semi; istiari, tashbiha na taashira kwa njia ya kufana na kufikia dhamira yake ya kuficha ujumbe ili usifikie wasiolengwa, kuleta tafsida, kujenga mshikamano wa kisemantiki, kufikia umbuji wa mashairi pamoja na kuboresha kazi yake.Tasnifu hii imeleta uelewa zaidi ya tamathali hizi.
    URI
    http://hdl.handle.net/11295/76082
    Citation
    Master of Arts
    Publisher
    University of Nairobi
    Collections
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM) [24587]

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback

     

     

    Useful Links
    UON HomeLibrary HomeKLISC

    Browse

    All of UoN Digital RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback