• Login
    • Login
    Advanced Search
    View Item 
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Uchambuzi Linganishi Wa Maudhui Na Majukumu Ya Nyimbo Za Harusi Za Wadigo Na Waswahili

    Thumbnail
    View/Open
    Full-text (312.7Kb)
    Date
    2014-11
    Author
    Ngome, Mariam D
    Type
    Thesis; en_US
    Language
    en
    Metadata
    Show full item record

    Abstract
    Utafiti huu unahusu uchambuzi linganishi wa maudhui na majukumu ya nyimbo za harusi za Wadigo na Waswahili. Kazi hii imegawanywa katika su ra nne. Katika sura ya kwanza tumeangazia maswala muhimu ya utafiti wetu. Tumeele zea swala la utafiti, madhumuni na nadharia tete zilizotuongoza. Aidha, sababu za utaf iti zimeelezwa pamoja na upeo na mipaka. Msingi wa nadharia wa utafiti umefafanuliwa na yali yoandikwa kuhusu mada yalijadiliwa. Mwisho, mbinu za utafiti zimebainishwa na uchanganu zi wa data umefanywa. Katika sura ya pili, tumeshughulikia utaratibu wa ndoa na harusi z a Wadigo na Waswahili. Aidha, katika sura ya tatu tumeangazia maudhui na majukumu katika nyim bo za harusi za Wadigo na Waswahili. Mbali na haya, pia tumeshughulikia walengwa wa ujum be katika nyimbo hizi. Mbali na hayo, tumelinganisha na kutofautisha maudhui na majukumu yanayojitokeza katika nyimbo za harusi za Wadigo na Waswahili. Sura ya nne, ambayo ndio ya mwisho, tumejikita katika matokeo ya utafiti, changamoto tulizokumbana nazo na pia tumet oa mapendekezo ya utafiti wa baadaye kuhusu mada hii
    URI
    http://hdl.handle.net/11295/76457
    Publisher
    University of Nairobi
    Collections
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM) [24587]

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback

     

     

    Useful Links
    UON HomeLibrary HomeKLISC

    Browse

    All of UoN Digital RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback