• Login
    • Login
    Advanced Search
    View Item 
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Uchanganuzi wa makosa yanayofanywa na wanafunzi wazungumzaji wa lugha ya Ekegusii

    Thumbnail
    View/Open
    Full text (316.3Kb)
    Date
    2014
    Author
    Obara, Jane M
    Type
    Thesis; en_US
    Language
    en
    Metadata
    Show full item record

    Abstract
    Madhumuni ya utafiti huu ni kuchanganua makosa ya kifonolojia, kimofolojia na kisintaksia yanayojitokeza katika kazi za Kiswahili zilizoandikwa na wanafunzi wazungumzaji wa lugha ya Ekegusii. Utafiti huu ulitathmini ni kwa kiwango kipi lugha ya Ekegusii inachangia makosa hayo. Ili kufikia malengo ya utafiti huu, wanafunzi kutoka viwango viwili tofauti vya usomi waliandika insha ambazo zilisahihishwa na makosa yaliyopatikana kuchanganuliwa kwa misingi ya mtazamo wa Uchanganuzi Makosa. Makosa hayo yaliainishwa katika kategoria mbalimbali kisha sababu zinazosababisha makosa hayo kuelezwa. Matokeo ya utafiti huu yalionyesha kuwepo kwa makosa haya katika viwango vyote japo kadiri mwanafunzi anavyoendelea na masomo katika viwango vya juu, makosa yanapungua. Lugha ya Ekegusii ilichangia pakubwa kutokea kwa makosa haya.
    URI
    http://hdl.handle.net/11295/77861
    Citation
    Shahada ya uzamili ya Kiswahili
    Publisher
    University of Nairobi
    Collections
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM) [24587]

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback

     

     

    Useful Links
    UON HomeLibrary HomeKLISC

    Browse

    All of UoN Digital RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback