• Login
    • Login
    Advanced Search
    View Item 
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Mamlaka Na Itikadi Katika Nyimbo Teule Za Taarab

    Thumbnail
    View/Open
    Full Text (569.3Kb)
    Date
    2015
    Author
    Makhulo, O Evans
    Type
    Thesis
    Language
    others
    Metadata
    Show full item record

    Abstract
    Utafiti huu ulihusu uchunguzi wa mamlaka na itikadi katika nyimbo za taarab za Zilipendwa ulioimbwa na Khadija Yusuf na Utalijua Jiji ulioimbwa na Afua Suleimani. Hili liliwezeshwa na kuwepo kwa malengo matatu.Kwanza, kuchunguza utunzi na maudhui tawala katika nyimbo hizi ili kubaini mafungamano ya masuala hayo na itikadi inayotawala.Pili,kuonyesha udhihirikaji wa mahusiano ya mamlaka katika nyimbo hizo na mwisho, kueleza mikakati ya kipragamatiki na mchango wake katika ujenzi wa mamlaka na itikadi katika hizo nyimbo.Sampuli lengwa ilitumika kuziteua nyimbo hizi mbili na matini zake zikaandikwa baada ya kanda za nyimbo hizo kusikilizwa.Baada ya kuandikwa, vishazi vyake vilichambuliwa kwa kutumia nadharia ya Diskosi Changanuzi Tunduizi (DCT) na mtazamamo wa Isimu Amilifu wa Kimfumo (IAK). Kutokana na uchambuzi huo, iligunduliwa kuwa itikadi ya ubabedume ndiyo inayotawala katika nyimbo hizo na kwamba mahusiano ya mamlaka hujidhihirisha vilevile katika nyimbo hizi.Muhimu zaidi ni kuwa maswala haya ya mamlaka na itikadi yanaweza kuonyeshwa kwa kueleza mikakati ya kipragamatiki katika nyimbo hizo.Utafiti huu utakuwa muhimu kuhusu namna ya kutumia vipengele vya kiisimu kuchanganua matini za lugha ya Kiswahili.
    URI
    http://hdl.handle.net/11295/93442
    Publisher
    University of Nairobi
    Description
    Thesis
    Collections
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM) [24587]

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback

     

     

    Useful Links
    UON HomeLibrary HomeKLISC

    Browse

    All of UoN Digital RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback