• Login
    • Login
    Advanced Search
    View Item 
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Kuwepo ‘kutokuwepo’ kwa wahusika wa kike katika tawasifu ya mbali na nyumbani ya adam shafi (2013)

    Thumbnail
    View/Open
    Full text (651.9Kb)
    Date
    2015-07
    Author
    Kamwanza, Rosemary M
    Type
    Thesis
    Language
    en
    Metadata
    Show full item record

    Abstract
    Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa kuchunguza uwasilishwaji wa wahusika wa kike kimajukumu katika Mbali na Nyumbani kwa lengo la kubainisha kuwepo na “kutokuwepo” kwao kwa uwazi katika baadhi ya miktadha na “kutokuwepo” kwao kwa uwazi katika miktadha mingine. Ubainishaji huu ulilenga kuonyesha sababu nzuri na chanya za kihistoria na kianthropolojia ambazo zinaeleza uwasilishwaji wa aina hiyo. Tulidurusu kazi mbali mbali ambazo zimechunguza masuala ya usawiri na taswira ya wanawake ili tufahamu jinsi tathmini zimehitishwa. Nadharia iliyoongoza utafiti huu ni tapo la anthropolojia ambalo ni anthropolojia ya kiutamaduni na kijamii. Nadharia hii inatambua kuchunguzwa kwa masuala ya wanawake kihistoria, uhalisi wa maisha katika jamii na michakato ya kianthropolojia ili kuwapa wanawake tathmini chanya. Matokeo ya utafiti yalidhihirisha kwamba, sababu za kuwepo na “kutokuwepo” kwa wahusika wa kike katika mazingira na miktadha katika Mbali na Nyumbani ni za kihistoria na kianthropolojia bali sio za kiusawiri. Utafiti ulionyesha pia kwamba, baadhi ya tathmini hasi katika tafiti za awali zinaweza kufikiriwa upya.
    URI
    http://hdl.handle.net/11295/94610
    Publisher
    University of Nairobi
    Collections
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM) [24587]

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback

     

     

    Useful Links
    UON HomeLibrary HomeKLISC

    Browse

    All of UoN Digital RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback