• Login
    • Login
    Advanced Search
    View Item 
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Familia za kiafrika katika njia panda: mitagusano na, changamano za usasa katika mhanga nafsi yangu

    Thumbnail
    View/Open
    Full Text (281.5Kb)
    Date
    2015
    Author
    S.A Mohamed, Jackline Munyoki
    Type
    Thesis
    Language
    other
    Metadata
    Show full item record

    Abstract
    Naungama kuwa kazi hii haikuwa rahisi kuitekeleza lakini kupitia kwa wasimamizi wangu nimeweza kufaulu. Kujitolea kwao ni zaidi ya ilivyotarajiwa maana hawakuchoka kusoma kwa kina kazi hiyo na kunielekeza ipasavyo. Shukrani za dhati ni kwa Dkt. Omboga Zaja na Dkt. Amiri Swaleh waliyojitolea mhanga kuona kazi niliyokuwa nikiishughulikia imeafikiana kulingana na matarajio ya kozi. Urekebishaji na uelekezaji wao ulikuwa wa wazi na wa kufaa mno maaana nilipoirejelea kazi yenyewe, niliweza kuona niliyostahili kutekeleza. Nawapa kongole kwa vile waliweza kunishauri na kunielekeza ipasavyo kwani ushauri wao ulinipa nguvu na maarifa ya kushughulikia kazi yangu. Yakini usimamizi wao ulinifaa zaidi na ndiyo maana nimefaulu katika tasnifu yangu.Aidha nawashukuru wafuatao: Dkt. Iribe, Profesa Habwe na Profesa Kineene kwa maoni yao ya kutia moyo na kujitolea kwao nilipowahitaji. Ombi langu ni Rabuka awabariki kwa kazi zao nzuri.Tena sitawasahau wanakufunzi wenzangu ambao kwa pamoja tuliweza kushirikiana katika masomo ya uzamili kupitia kazi ya vikundi na mijadala tuliyojihusisha nayo kwa lengo la kudurusu kozi zetu. Ushauri wao wa kutia moyo ulinipa motisha na nguvu ya kuendelea.
    URI
    http://hdl.handle.net/11295/94847
    Subject
    Familia za kiafrika
    Collections
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM) [24587]

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback

     

     

    Useful Links
    UON HomeLibrary HomeKLISC

    Browse

    All of UoN Digital RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback