• Login
    • Login
    Advanced Search
    View Item 
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM)
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Mpangilio Wa Ngeli:ulinganishi Wa Ngeli Za Kiswahili Sanifu Na Kikuyu Cha Kiambu

    Thumbnail
    View/Open
    Full-text (5.386Mb)
    Date
    1987
    Author
    Mukuria, Davies M
    Type
    Thesis
    Language
    en
    Metadata
    Show full item record

    Abstract
    Katika tasnifu hii, tumeuangalia uainisha^i v:a ngeli kama unavyojitokeza katika Kisv:ahili sanifu na Kikikuyu cha Kiam'bu. Kwa hivyo tasnifu hii imejikita katika sarufi linganishA, Sura ya kwanza, ni utangulizi wa utafiti. Hanbo yaliyojadiliwa katika utangulizi huo ni: Somo la utafiti, Lugha na v:atu, madhumuni ya sono tunalolishughulikia, upeo v:a somo, na yaliyoandikv.Ta kuhusu soeo tunalolishughulikia. Pia katika sura hiyo tumezitoa sababu zetu za kulichagua some letu, nsingi wa nadharia tulioitumia, na vilevile njia za kufanyia utafiti. Sura ya pili inezishughulikia ngeli za Kisvahili sanifu. Katika sura hiyc, tumejadili kuhusu idadi ya ngeli zilizoko katika Kiswahili sanifu. Fia tumeonyesha jinsi majina ya lugha hiyo yanavyohusiana na vipande vingine "/ya sarufi. hisingi ya kimaana inayodhihirika katika ngeli za Kiswahili sanifu pia inejadiiiwa. Katika sura ya tatu, tumezijadili ngeli za Kikikuyu. Kbinu zilizozingatiwa katika kuzieleza ngeli hizo ni sawa na ziie zilizoruniwa kataka sura ya pili. Yaani misingi ya kimaana na viano wa kisarufi. Katika sura ya nne tumetoa ulinganishi v:a ngeli kana unavyojitokszs katika lugha nbili tulizozishughulikia. Tunejadili jinsi ngeli za lugha hizo zinavyofanana na *cutof aut iana. ulirit a.nishi v;etu urezinratia v:iano v;a kisarufi na misingi ya k irn a an a • Sura ya tano ni hitinishc la utafiti vretu. Katika sura hiyo, tumezi^adili kauli nuhimu zilizotokea na kujadiliv.ra katika sura zilizotangulia. Aidha, ni katika sura hiyo ainbapo tumeyatoa mapendekezo kuhusu utafiti unaoweza kufanywa juu ya mpangilio wa ngeli za Kibantu.
    URI
    http://hdl.handle.net/11295/96609
    Subject
    Mpangilio wa ngeli
    Collections
    • Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM) [24587]

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback

     

     

    Useful Links
    UON HomeLibrary HomeKLISC

    Browse

    All of UoN Digital RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback