Theses and Dissertations: Recent submissions
Now showing items 7281-7300 of 49224
-
Sitiari, Taashira Na Tashibiha Katika Uwasilishaji Wa Dhamira Katika Utenzi Wa Tambuka: Uhakiki Wa Kimtindo
(University of Nairobi, 2011)Utenzi wa Tambuka ni miongoni mwa tenzi ndefu na za jadi za Kiswahili. Utenzi huu wenye beti 1150 unahusu tukio la vita baina ya Waislamu na Wakristo katika mji wa Tambuka vikiongozwa na Mtume Muhammadi na mfalme Herekali ... -
Influence of monitoring and evaluation process on implementation of HIV & AIDs projects in Kenya: a case of dreams project in Nairobi County
(University of Nairobi, 2021)The Monitoring and Evaluation process is vital in ensuring project efficiency and effectiveness during the life cycle. Thus, the imperative need to exhaustively study the influence of the Monitoring and Evaluation process ... -
Studies on Competition Between Wheat (Triticunaestivuh L. Em. Thell.) and Wild Oats (Avena Spp.)
(University of Nairobi, 1979)Two experiments were carried out in the Kabete Field Station, Faculty of Agriculture, University of Nairobi to study the effect of wild oats (Avena spp.) in competition with short maturing "Kiboko” and long maturing "Kenya ... -
A Pre-colonial History of Abatachoni, 1500-1900 a.d.: 0 a Study in Socio-cultural Change
(University of Nairobi, 1991)This thesis is a survey of the pre-colonial history of Abatachoni from A.D. 1500 to 1900. The thesis set out to trace the origin, migration and settlement of Abatachoni from the Uasin Gishu plateau of Rift Valley Province ... -
An Analysis of the returns to adoption of Agricultural technologies in south western kenya
(University of Nairobi, 2008) -
Uhalisiajabu unavyojitokeza katlka ukawafi wa Miiraji na utenzi wa Fumo Liyongo
(University of Nairobi, 2016)Utafiti huu ulikusudia kuonyesha sifa za kiuhalisiajabu kama zinavyojitokeza katika Ukawafi wa Miiraji na Utenzi wa Fumo Liyongo. Tulifanyanya hivyo kwa kuwarejelea baadhi ya wahusika na mandhari kama yalivyosawiriwa ... -
Uhakiki wa fani katlka Tamthilia za K.W.Wamitila.
(University of Nairobi, 2005)Tasnifu hii ni uhakiki wa fani katika tamthilia za Kiswahili ambazo zimetungwa na Warnitila, K.W. Tamthilia hizi ni Wingu La Kupita (1999) na Pango (2003). Katika tahakiki yetu, tumeteua na kujadili vipengele maalum vya ... -
Nafasi ya Dini katika jamii ya kisasa kama ilivyosawiriwa katika Riwaya za Nguvu ya Sala, Walenisi na Babu alipofufuka
(University of Nairobi, 2005)Katika kazi hii tumezihakiki nwaya za Nguvu ya Sala (1995) ya K.W Wamitila, Walenisi (1998) ya K. vlkangi na Babu Alipofufuka (2003) ya SA. Mohamed. Tumeangalia jinsi waandishi hawa wamelishughulikia swaJa la dini na ... -
Maudhui ya kiukombozi katlka Diwani ya Jicho la Ndani iliyoandikwa na Said A. Mohamed
(University of Nairobi, 2015)Katika tasnifu hii tumetathmini maudhui ya kiukombozi katika diwani ya Jicha fa Ndani. iliyoandikwa na Said A. Mohamed (2002). Utafiti umeonyesha kwamba Said A. Mohamed amezingatia sana maudhui haya ya kiukombozi katika ... -
Mada : Katama Mkangi: Mwandishi chipukizi anayeng'ang'ania nafasi katika uwanja wa Fasihi?
(University of Nairobi, 1986) -
Dhuluma dhidi ya vijana wa kike katlka Riwaya za Rosa Mistlka na Tumaini
(University of Nairobi, 2012)Utafiti huu unashughulikia swala la dhuluma dhidi ya vijana wa kike katika nwaya za E.Kezilahabi, Rosa Mistika (1971) na C. Momanyi, Tumaini (2006) . Uchanganuzi huu umegawanywa katika sura tano. Sura ya kwanza inahusu ... -
Mada: "Mofofonolo]ia ya Kiswahili Sanifu na Kikikuyu Sanifu; Mathalani Kikikuyu cha Kabete: Ulinganishi"
(University of Nairobi, 1992) -
Effect of Inclusion of Protein-rich Forages on Quality of Napier Grass Silage
(University of Nairobi, 2003)In order to study the effect of inclusion of protein rich forages (PRF) and molasses on chemical composition, metabolisable energy (ME) content, voluntary' intake, in vivo and in vitro digestibility of Napier grass silage, ... -
Uhakiki Wa Fani Katika Utenzi Wa Swifa Ya Nguvumali
(University of Nairobi, 2009)Fani ni jumla ya vipengele vya kimtindo au kisanaa vinavyotumiwa kuwasilisha ujumbe. Katika tenzi vipengele vinavyojitokeza ni mtindo, muundo, toni, msuko, mandhari, wahusika, wakati, matumizi ya lugha na vipengele vingine ... -
Matumizi ya Istiari, Tashbiha na Taashlra katlka Diwani ya Sauti ya Dhiki
(University of Nairobi, 2014)Katika tasnifu hii tumeonyesha matumizi ya tamathali tatu za ulinganisho ambazo ni istiari, tashbiha na taashira katika diwani ya Sauti ya Dhiki iliyoandikwa na Abdilatif Abdalla (1973). Utafiti umeonyesha kwamba Abdilatif ... -
Tamthilia za Kiukombozi: Taswira ya Mwafrika katika vita vya Ukombozl dhidi ya Ukoloni
(University of Nairobi, 1990)Kazi hii Lnahakiki, maudhui ya kiukCi.mbozikatika tamthilia tatu ambazo ni Mukwawa wa Uhehe, Kinjeketile, na Mzalendo Kimathi. Tasnifu hii i~iki taswira ya Mwafrika katika vita vya ukombozi dhidi ya ukoloni katika ... -
Kanuni za upole kwenye vipindi, "Jambo Kenya" na "Chapa Kazi" vya Redio Citizen.
(University of Nairobi, 2017)Upole husaidia katika kudumisha mahusiano merna katika mazungumzo. Upole vile vile husaidia katika kuhakikisha kuwa wazungumzaji wanaingiliana vyema katika mazungumzo yao. Wazungumzaji huweza kufahamu kuwa wanatumia ... -
Makosa yanayofanywa na baadhi ya Wanandi katika matumizi ya Kiswahili
(University of Nairobi, 1993) -
Usawiri Wa Wahuslka Wa Klke Ka Tlka Tamthilia Za Natala Na Mama Ee
(University of Nairobi, 2012)Utafiti huu ulishugulikia usawini wa wahusika wa kike katika tamthilia za natala na Mama ee kwa kutumia nadharia ya ufeministi. Madhumuni ua utafiti huu yalikuwa; Kuchunguza jinsi watunzi walivyowasawiri wahusika wa kike ... -
Athari Za Kifonolojia Za Lahaja Ya Kiamu Na Kitikuu Katika Kiswahili Sanifu
(University of Nairobi, 2016)Tasnifu hii inahusu uchanganuzi wa athari za kifonolojia za lahaja za Kiamu na Kitikuu katika Kiswahili sanifu ambapo uchanganuzi huu unahusu kulinganisha miundo mbalimbali ya maneno katika insha za wanafunzi na kuonyesha ...
