Theses and Dissertations: Recent submissions
Now showing items 7321-7340 of 49224
-
Nafasi Ya Dini Katika Ndoa: Tathmini Ya Utengano Na Paradiso
(University of Nairobi, 2011) -
Dhamira ya Uozo Na Athari zake Kwa jamii, Katika Riwaya Ya upotevu
(University of Nairobi, 2012)Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa kuchanganua dhamira ya uozo katika nwaya ya Upotevu, kuchunguza uhusika unavyotumiwa kuendeleza uovu na kuonyesha madhara ya uovu katika jamii. Kazi hii ina sura tano. Katika sura ya ... -
Ukombozi Wa Mwanamke Katika Riwaya Za Habwe
(University of Nairobi, 2011)Katika utafiti huu wa ukombozi wa mwanamke, tumeona kwamba ukombozi wa mwanamke unamtegemea mwanamke mwenyewe. Mwanamke anafaa kuchukua mstari wa mbele ili kupigania haki zake za kijamii kama njia ya kupinga ugandamizw ... -
Uhakiki Wa Kifani Katika Utenzi Wa Siri Li Asirali Na Utenzi Wa Mwana Fatuma
(University of Nairobi, 2005)Kazi hii tumeibawibu katika sura nne. Katika sura ya kwanza tumeangazia tatizo letu la utafiti, sababu za kulichagua somo hili, madhumuni yetu, na nadharia tete zinazotuongoza. Vilevile katika sura hii tumeeleza yaliyoandikwa ... -
Uchanganuzi Wa Maendeleo Va Kisemantiki Katika Sheng: Mtazamo Wa Pragmatiki Leksika.
(University of Nairobi, 2011)Katika utafiti huu tulinuia kuchanganua maendeleo ya kisemantiki katika Sheng tukiongozwa na nadharia ya pragmatiki leksika ya Blutner (1990). IIi kufikia malengo hayo, sura ya kwanza imeshughulikia utangulizi kwa ujumla. ... -
Muundo Na Uamilifu Wa Chagizo Katika Viral Na Vishazi Vya Kisw Ahili Sanifu
(University of Nairobi, 2019)Mada yetu ya utafiti ilikuwa uamilifu wa chagizo katika virai na vishazi vya Kiswahili sanifu.Tulidhamiria kuchunguza viambajengo vya aina tofauti za chagizo katika virai na vishazi vya Kiswahili sanifu huku tukilenga ... -
Usimulizi Katika Utenzi Wa Siri Li Asirali
(University of Nairobi, 2011)Utafiti huu unachunguza usimulizi katika Utenzi wa Siri Li Asirali. Utafiti ulitumia nadharia ya . naratolojia. Tulitaka kuchunguza matwnizi ya usimulizi katika ushairi kama ilivyo katika bunilizi kama nwaya. Kazi hii ... -
Sintaksia Ya Virai Vya Kiswahili Sanifu Na Kikikuyu Cha Kabete - Ulinganishi
(University of Nairobi, 2002) -
Mchango Wa Vijana Katika Kuleta Mabadiliko Katika Kufa Kuzikana Nakidagaa Kimemwozea
(University of Nairobi, 2017)Katika utafiti huu, tumeonyesha mchango wa vijana katika kuleta mabadiliko katika riwaya za Kufa Kuzikana na Kidagaa Kimemwozea. Pia, tumeangazia changamoto ambazo vijana hukumbana nazo katika juhudi zao za kuleta ... -
Uchanganuzi Wa Matini Teule Ya Nyimbo Za Foustine Munishi: Mtazamo Wa Nadharia Ya Upole
(University of Nairobi, 2011)Utafiti huu ulishughulikia uchanganuzi wa matini teule ya nyimbo za Foustine Munishimtazamo wa nadharia ya upole ya Brown na Levinson (1987) has a kipengele cha mikakati ya kuokoa uso. Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa ... -
Uyakinifu Wa Maudhui Makuu Katika Utenzi Wa Abdirrahmani Na Sufiyani
(University of Nairobi, 2017)Tasnifu hii imeshughulikia uchambuzi wa maudhui makuu katika Utenzi wa Abdirrahmani na Sujiyani kwa kusoma utenzi wenyewe na kudondoa yale masuala mazito yenye uyakinifu katika maisha ya jamii. Tumeongozwa na nadharia ... -
Uhakiki Wa Maudhui na Mtindo Katika Tikitimaji
(University of Nairobi, 2014)Tumefanya Uhakiki wa maudhui na mtindo katika Tikitimaji.Tumeangazia maudhui mbalimbali na lugha ya kitamathali iliyotumika kuendeleza dhamira na maudhui hayo. Utafiti wetu ulijikita katika Tikitimaji ila ilipotubidi ... -
Uchambuzi Wa Tamathali Za Usemi Pamoja Na Mbinu Nyingine Za Matumizi Ya Lugha Katika Utenzi Wa Mikidadi Na Mayasa
(University of Nairobi, 2012)Utafiti huu unahusu uchambuzi wa tamathali za usemi na mbinu nyengine za matumizi ya lugha katika Utenzi wa Mikidadi na Mayasa na Said Abdalla Masudi el Buhry el Hinawy. Kazi hii imegawanywa katika sura nne. Katika sura ... -
Mifichamo Katlka Mashairi Ya Mrisho Mpoto: Nikipata Nauli Sizonje
(University of Nairobi, 2018)Utafiti huu ulipania kuchunguza mifichamo katika mashiri mawili teule ya Mrisho Mpoto ya Nikipata Nauli na Sizonje. Kwa kutumia maoni ya Grice (1975) kuhusu kanuni za utaratibu wa ushirikiano wa kimazungumzo tuliaangaliajinsi ... -
Dhana Ya Ulinganifu Katika Tafsiri Ya Fasihi Tathmini Ya Usaliti Mjini
(University of Nairobi, 2009)Tasnifu hii inashughulikia tafsiri ya kazi ya kifasihi iliyotafsiriwa kutoka kiingereza hadi kiswahili. Tumetumia matini za Betraval in the Citv (1976) 11<1 Usaltti Mjini (1994). Utafiti wetu umechunguza jinsi dhana ya ... -
Mada Na Fokasi Katika Kiswahili Sanifu: Mtazamo Wa Muundo Wa Taarifa.
(University of Nairobi, 2009)Utafiti huu umeshughulikia mada na fokasi katika Kiswahili Sanifu. Tumechunguza na kuchanganua tungo ambazo hutambulisha mada na fokasi huku tukitolea maelezo na ufafanuzi wa kina, Malengo ya utafiti huu ni kuchunguza ... -
Mikakati Ya Upole Ya Lugha Katika Matumizi Ya Lugha Ya Vijana'
(University of Nairobi, 2010)Utafiti huu ulilenga kutambulisha mikakati ya upole ya lugha inayotumiwa na vijana katika matumizi yao ya lugha. Vijana wamechukuliwa kama kundi lisilokuwa na hadhari pale linapoitumia lugha katika mazungumzo yanayozungukia ... -
Mitazamo Ya Vijana Na Wazee Kuhusu Ukombozi Wa Mwanamke Katika Tamthilia Tatu Za Kiswahili
(University of Nairobi, 2007)Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa ni kushughulikia swala la mitazamo ya vijana na wazee kuhusu ukombozi wa mwanamke katika tamthilia tatu za Kiswahili. Tamthilia zilizoteuliwa ni: Kitumbua kimeingia mchanga (2000) S. ... -
Taswira Ya Gereza Inavyoendeleza Maudhui Katika Riwaya Yahainiyaadam Shafi.
(University of Nairobi, 2007)Tasnifu hii imechunguza namna taswira ya gereza inavyotumiwa kuendeleza maudhui katika Haini riwaya ya Adam Shafi. Tasnifu hii ina sura tano. Katika sura ya kwanza, tumeshughulikia tatizo la utafiti, madhumuni ya utafiti, ...
