Show simple item record

dc.contributor.authorOgonda, Joshphine O
dc.contributor.author
dc.date.accessioned2014-02-25T07:58:19Z
dc.date.available2014-02-25T07:58:19Z
dc.date.issued1998
dc.identifier.citationMaster of Arts in Kiswahili,en_US
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/11295/64936
dc.description.abstractTasnifu hii inashughulikia matatizo ya ukalimani ambapo kwa kuchambua mahubiri ya kidini, tumeweza kuyabainisha baadhi ya inatatizo hayo. Kazi yenyewe imegawanywa katika sura tano. Sura ya kwanza ni utangulizi. Katika utangulizi wa sura hii tumeweza kutoa maelezo mafupi kuhusu historia ya ukalimani. Tumezungumzia pia kuhusu somo la utafiti, madhumuni ya tasnifu na haipothesia zilizotuongoza katika utafiti wetu. Zaidi ya hayo tumeweza kuangalia yaliyoandikwa kuhusu somo hili ambapo tuliweza kupitia kazi zilizoandikwa kuhusu tafsiri na ukalimani. Vilevile tumeweza kutoa sababu zetu za kuchagua somo hili, msingi wa kinadharia na upeo wa tasnifu. Hatimaye tumeweza kueleza njia tulizotumia katika utafiti wetu. Sura ya pili inazungumzia masiala mbalimbali kuhusiana na ukalimani. Katika sura hii tumeweza kuangalia dhana ya ukalimani na kuilinganisha na tafsiri. Kwa kufanya hivyo tumeweza kuona tofauti na ushabihiano ulioko kati ya dhana hizi mbili. Mwisho tumeangalia aina mbalimbali za ukalimani. Sura ya tatu inahusu uchambuzi halisi wa data tuliyokusanya. Katika sura hii tumezingatia matatizo ya kiisimu katika viwango vinne: fonolojia, sintaksia, leksia na maana. Tuinetoa mifano kuonyesha vile makosa yanavysjitokeza katika kila kiwango. Sura ya nne inashughulikia matatizo yasiyo ya kiisimu. (iv) Hapa turaejaribu kuoanisha matatizo haya na yale ya kiisumu ili kuona vile matatizo yasiyo ya kiisimu yanavyoweza kuchangia yale ya kiisimu. Sura ya tano ni hitimisho. Katika sura hii tumetoa maelezo ya kijumla kuhusu utafiti wetu na matokeo yake. Pamoja na hayo, tumetoa mapendekezo.
dc.language.isoenen_US
dc.publisherUniversity of Nairobi,en_US
dc.title`Matatizo Ya Ukalimani:uchambuzi Wa Mahubiri Ya Kidini`en_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record