• Login
    • Login
    Advanced Search
    View Item 
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Education (FEd)
    • View Item
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Education (FEd)
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Uchanganuzi makosa na muundo sentensi: ulinganisho wa sentensi sahili za kiswahili sanifu na za kisuba

    Thumbnail
    View/Open
    Full-text (878.9Kb)
    Date
    2014
    Author
    Kisakwah, Beatrice A
    Type
    Thesis; en_US
    Language
    en
    Metadata
    Show full item record

    Abstract
    Wanafunzi wanaojifunza lugha ya pili hufanya makosa mengi yakiwemo matamshi mabaya ya maneno. Kutokana na hali hiyo, wanaisimu wamekuwa katika mstari wa mbele kubaini chanzo cha makosa na vilevile kubuni mbinu faafu zinazochangia katika kutatua matatizo hayo. Utafiti huu ulinuia kutimiza malengo yafuatayo mathaalan; kuainisha makosa ya kisintakisia katika kazi za wanafunzi kutoka kisiwani Mfangano, kuhakiki makosa yanayojitokeza katika tungo za wanafunzi na pia kubaini kiwango cha makosa yanayosababishwa na athari ya lugha ya kwanza. Kwa hivyo, kutokana na matokeo yetu, tulibaini kuwa makosa mengi hujitokeza katika tungo za wanafunzi na pia ni wazi kuwa makosa hujidhihirisha katika vipashio vyote vya lugha, ijapokuwa kwa asilimia tofauti Nadharia iliyotumiwa katika kazi hii ni nadharia ya uchanganuzi linganuzi ambayo huangazia ulinganuzi wa mifumo ya lugha mbili ili kubaini tofauti zinazojitokeza kati ya lugha hizo. Kadhalika nadharia hii huchukulia kuwa makosa katika lugha ya pili husababishwa na athari ya lugha ya kwanza. Kwa muhstasari, kazi hii imemulika makosa ya kisintaksia ya wanafunzi kutoka kisiwani Mfangano na aidha kubuni namna ya kukabiliana na makosa yanayosababishwa na lugha ya kwanza.
    URI
    http://hdl.handle.net/11295/76160
    Publisher
    University of Nairobi
    Collections
    • Faculty of Education (FEd) [6069]

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback

     

     

    Useful Links
    UON HomeLibrary HomeKLISC

    Browse

    All of UoN Digital RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback