• Login
    • Login
    Advanced Search
    View Item 
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Education (FEd)
    • View Item
    •   UoN Digital Repository Home
    • Theses and Dissertations
    • Faculty of Education (FEd)
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Uchanganuzi wa kiisimu wa baadhi ya semi katika matini ya kidini: mtazamo wa kipragmatiki

    Thumbnail
    View/Open
    Full text (476.3Kb)
    Date
    2015
    Author
    Shaviya, Lydiah M
    Type
    Thesis
    Language
    other
    Metadata
    Show full item record

    Abstract
    Lengo kuu katika utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza matumizi ya lugha katika mahubiri ya kidini ya Kiswahili. Tasnifu hii inahusu uchanganuzi wa kiisimu wa baadhi ya semi katika mahubiri ya kidini ya Kiswahili katika mtazamo wa kipragmatiki. Katika utafiti huu tulijikita katika mahubiri ya kipentekoste tuliyorekodi kutoka katika vituo vya runinga vitatu teule ambavyo ni KBC, SAYARE na MBCI. Tuliongozwa na nadharia ya pragmatiki leksika ambayo inachunguza jinsi maana ya neno kiisimu inabadilika katika matumizi. Utafiti huu ulidhihirisha ya kuwa wahubiri wa kidini hutumia baadhi ya semi zenye maana ya kiisimu ni tofauti na maana ya kimuktadha japo kwa viwango tofauti. Vilevile, muktadha wa matumizi ya baadhi ya semi katika mahubiri ya kidini ya Kiswahili huathiri maana katika kiwango cha matumizi ya elementi za kiisimu. Pia ilidhihirika kuwa matumizi ya baadhi ya semi katika mahubiri ya kidini kipragmatiki yana umuhimu.
    URI
    http://hdl.handle.net/11295/95194
    Publisher
    University of Nairobi
    Collections
    • Faculty of Education (FEd) [6069]

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback

     

     

    Useful Links
    UON HomeLibrary HomeKLISC

    Browse

    All of UoN Digital RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Copyright © 2022 
    University of Nairobi Library
    Contact Us | Send Feedback