University of Nairobi Institutional Repository: Recent submissions
Now showing items 11261-11280 of 116514
-
Sintaksia Ya Virai Vya Kiswahili Sanifu Na Kikikuyu Cha Kabete - Ulinganishi
(University of Nairobi, 2002) -
Mchango Wa Vijana Katika Kuleta Mabadiliko Katika Kufa Kuzikana Nakidagaa Kimemwozea
(University of Nairobi, 2017)Katika utafiti huu, tumeonyesha mchango wa vijana katika kuleta mabadiliko katika riwaya za Kufa Kuzikana na Kidagaa Kimemwozea. Pia, tumeangazia changamoto ambazo vijana hukumbana nazo katika juhudi zao za kuleta ... -
Uchanganuzi Wa Matini Teule Ya Nyimbo Za Foustine Munishi: Mtazamo Wa Nadharia Ya Upole
(University of Nairobi, 2011)Utafiti huu ulishughulikia uchanganuzi wa matini teule ya nyimbo za Foustine Munishimtazamo wa nadharia ya upole ya Brown na Levinson (1987) has a kipengele cha mikakati ya kuokoa uso. Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa ... -
Uyakinifu Wa Maudhui Makuu Katika Utenzi Wa Abdirrahmani Na Sufiyani
(University of Nairobi, 2017)Tasnifu hii imeshughulikia uchambuzi wa maudhui makuu katika Utenzi wa Abdirrahmani na Sujiyani kwa kusoma utenzi wenyewe na kudondoa yale masuala mazito yenye uyakinifu katika maisha ya jamii. Tumeongozwa na nadharia ... -
Uhakiki Wa Maudhui na Mtindo Katika Tikitimaji
(University of Nairobi, 2014)Tumefanya Uhakiki wa maudhui na mtindo katika Tikitimaji.Tumeangazia maudhui mbalimbali na lugha ya kitamathali iliyotumika kuendeleza dhamira na maudhui hayo. Utafiti wetu ulijikita katika Tikitimaji ila ilipotubidi ... -
Bainishaji Na Ukombozi Wa Mwanamke katika Riwaya Mbili Za K.W. Wamitila Nguvu Ya Sala (1999) Na Dharau Ya Ini (2007)
(University of Nairobi, 2012) -
Uchambuzi Wa Tamathali Za Usemi Pamoja Na Mbinu Nyingine Za Matumizi Ya Lugha Katika Utenzi Wa Mikidadi Na Mayasa
(University of Nairobi, 2012)Utafiti huu unahusu uchambuzi wa tamathali za usemi na mbinu nyengine za matumizi ya lugha katika Utenzi wa Mikidadi na Mayasa na Said Abdalla Masudi el Buhry el Hinawy. Kazi hii imegawanywa katika sura nne. Katika sura ... -
Mifichamo Katlka Mashairi Ya Mrisho Mpoto: Nikipata Nauli Sizonje
(University of Nairobi, 2018)Utafiti huu ulipania kuchunguza mifichamo katika mashiri mawili teule ya Mrisho Mpoto ya Nikipata Nauli na Sizonje. Kwa kutumia maoni ya Grice (1975) kuhusu kanuni za utaratibu wa ushirikiano wa kimazungumzo tuliaangaliajinsi ... -
Dhana Ya Ulinganifu Katika Tafsiri Ya Fasihi Tathmini Ya Usaliti Mjini
(University of Nairobi, 2009)Tasnifu hii inashughulikia tafsiri ya kazi ya kifasihi iliyotafsiriwa kutoka kiingereza hadi kiswahili. Tumetumia matini za Betraval in the Citv (1976) 11<1 Usaltti Mjini (1994). Utafiti wetu umechunguza jinsi dhana ya ... -
Anti-leishmanial activity of some surface compounds of Tarchonanthus camphoratus
(University of Nairobi, 2019)Background: The World Health Organization recognizes leishmaniasis as a major tropical disease with no effective vaccine against it. Chemotherapy, the only effective way to treat all forms of the disease, is toxic and ... -
In vitro Antiplasmodial and Cytotoxic activity of Three Medicinal Plants used Traditionally for Treatment of Malaria
(University of Nairobi, 2020)Introduction: Reports of emergence of Artemisinin Combination Therapies (ACTs) resistant malaria parasites in Greater Mekong region and Equatorial Guinea, is a strong reason necessitating increased efforts to discover new ... -
Two new flavonoids from Dracaena usambarensis Engl.
(University of Nairobi, 2020)Investigations of the root extract of Dracaena usambarensis Engl. for anticancer principles led to the characterization of one new homoisoflavonoid, (3S)-3,4ʹ,5,6-tetrahydroxy-7-methoxyhomoisoflavanone (1) and a new ... -
Mada Na Fokasi Katika Kiswahili Sanifu: Mtazamo Wa Muundo Wa Taarifa.
(University of Nairobi, 2009)Utafiti huu umeshughulikia mada na fokasi katika Kiswahili Sanifu. Tumechunguza na kuchanganua tungo ambazo hutambulisha mada na fokasi huku tukitolea maelezo na ufafanuzi wa kina, Malengo ya utafiti huu ni kuchunguza ... -
Mikakati Ya Upole Ya Lugha Katika Matumizi Ya Lugha Ya Vijana'
(University of Nairobi, 2010)Utafiti huu ulilenga kutambulisha mikakati ya upole ya lugha inayotumiwa na vijana katika matumizi yao ya lugha. Vijana wamechukuliwa kama kundi lisilokuwa na hadhari pale linapoitumia lugha katika mazungumzo yanayozungukia ... -
Mitazamo Ya Vijana Na Wazee Kuhusu Ukombozi Wa Mwanamke Katika Tamthilia Tatu Za Kiswahili
(University of Nairobi, 2007)Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa ni kushughulikia swala la mitazamo ya vijana na wazee kuhusu ukombozi wa mwanamke katika tamthilia tatu za Kiswahili. Tamthilia zilizoteuliwa ni: Kitumbua kimeingia mchanga (2000) S. ... -
Taswira Ya Gereza Inavyoendeleza Maudhui Katika Riwaya Yahainiyaadam Shafi.
(University of Nairobi, 2007)Tasnifu hii imechunguza namna taswira ya gereza inavyotumiwa kuendeleza maudhui katika Haini riwaya ya Adam Shafi. Tasnifu hii ina sura tano. Katika sura ya kwanza, tumeshughulikia tatizo la utafiti, madhumuni ya utafiti, ... -
Usawiri Wa Watoto Katlka Hadithi Za Mwepesi Wa Kusaha Unalikizo Ya Mkosi
(University of Nairobi, 2015)Mada ya utafiti huu ilikuwa kuchunguza usawiri wa watoto katika hadithi za Mwepesi vva Kusahau na Likizo ya Mkosi. Hadithi hizi za watoto zimejikita katika fasihi ya watoto. Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa kubainisha ... -
Taswlra Ya Mwanamke Katika Tamthilia Mbili Za Kiswahilil
(University of Nairobi, 2012)Utafiti huu umeshughulikia taswira ya mwanamke katika tamthilia mbili za Kiswahili. Tumeangalia picha ambayo mwanamke amepewa na jamii katika tamthilia za Kilio Cha Haki (1981) na Pango(2003). Katika sura ya kwanza ... -
Uhakiki Wa Maudhui Teule Katlka Utendi Wa Mikidadi Na Mayas"
(University of Nairobi, 2012)
