Browsing Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM) by Title
Now showing items 23792-23811 of 24448
-
Uchanganuzi Wa Kauli Katika Sentensi Elekezi Ya Kiswahili Sanifu: Mtazamo Wa Nadharia Ya Ubanifu
(University of Nairobi, Kenya, 2012)Kazi hii inahusu uchanganuzi wa Kauli katika sentensi elekezi ya Kiswahili sanifu kwa kutumia nadharia ya Ubanifu. Kazi yenyewe ilikuwa na malengo ya kueleza dhana ya uambishaji na kuonyesha viambishi vya kauli katika ... -
Uchanganuzi wa kifasihi wa baadhi ya fani katika nguzo mama:mtazamo wa umuundo na semiotiki
(University of Nairobi, Kenya, 2011)Tasnifu hii imeshughulikia tamathali za usemi na mbinu nyingine za lugha. Tena tumeziangalia fani za fasihi simulizi ambazo mtunzi wa kazi hii amezitumia na kisha tumelishughulikia suala la wahusika na uhusika wao katika ... -
Uchanganuzi wa kiisimu wa baadhi ya matini za Kiswahili: mtazamo wa pragmatiki leksika
(University of Nairobi, Kenya, 2010)Katika kazi hii tumechanganua kiisimu baadhi ya matini za fasihi ya Kiswahili kwa mtazamo wa Pragmatiki Leksika. Tumeigawa kazi hii katika sura tano. Sura ya kwanza imeshughulikia utangulizi wa kijumla kuhusu mada, usuli ... -
Uchanganuzi Wa Kimtindo Wa Zinguo La Mzuka Na Mbaya Wetu
(University of Nairobi, 2015)Utafiti huu ulihusu uchanganuzi wa kimtindo katika Zinguo la Mzuka na Mbaya Wetu. Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa kuchunguza matumizi ya sitiari, chuku, tashbihi, tashihisi, kejeli, tanakuzi na oksimora katika tamthilia ... -
Uchanganuzi Wa Kipragmatiki Wa Utoupole Katika Filamu Za Kiswahili
(University of Nairobi, 2017)Tasnifu hii imeshughulikia suala la utoupole katika filamu nne za Kiswahili kutoka Tanzania ambazo ni Hila, Tabasamu Ghushi, Upepo wa baridi na Majuto ambazo ziliteuliwa kimakusudi ili kutupatia data iliyoweza kufanikisha ... -
Uchanganuzi Wa Kipragmatiki Wa Utoupole Katika Mikutano Ya Kisiasa Nchini Kenya
(University of Nairobi, 2021) -
Uchanganuzi wa kishazi elezi cha kiswahili sanifu mtazamo wa kimofosintaksia
(University of Nairobi, Kenya, 2009)ABSTRACT NOT AVAILABLE -
Uchanganuzi Wa Maendeleo Va Kisemantiki Katika Sheng: Mtazamo Wa Pragmatiki Leksika.
(University of Nairobi, 2011)Katika utafiti huu tulinuia kuchanganua maendeleo ya kisemantiki katika Sheng tukiongozwa na nadharia ya pragmatiki leksika ya Blutner (1990). IIi kufikia malengo hayo, sura ya kwanza imeshughulikia utangulizi kwa ujumla. ... -
Uchanganuzi wa maendeleo ya kisemantiki katika sheng: mtazamo wa pragmatiki leksika
(University of Nairobi, Kenya, 2011)Katika utafiti huu tulinuia kuchanganua maendeleo ya kisemantiki katika Sheng tukiongozwa na nadharia ya pragmatiki leksika ya Blutner (1990). IIi kufikia malengo hayo, sura ya kwanza imeshughulikia utangulizi kwa ujumla. ... -
Uchanganuzi Wa Makosa Ya Kifonolojia Na Kimofolojia Yanayojitokeza Katika Kazi Andishi Za Wanafunzi Wa Shule Za Upili, Tigania, Jimbo La Meru
(University of Nairobi, 2016)Utafiti huu unalenga kuchanganua na kubainisha makosa ya kifonolojia na kimofolojia yanayojitokeza katika kazi andishi za wanafunzi wa shule za upili za Tigania jimboni Meru. Ili kufanikisha lengo hili, data ilikusanywa ... -
Uchanganuzi Wa Makosa Ya Kifonolojia Na Kimofolojia Yanayojitokeza Katika Kazi Andishi Za Wanafunzi Wa Shule Za Upili, Tigania, Jimbo La Meru
(University of Nairobi, 2016)Utafiti huu unalenga kuchanganua na kubainisha makosa ya kifonolojia na kimofolojia yanayojitokeza katika kazi andishi za wanafunzi wa shule za upili za Tigania jimboni Meru. Ili kufanikisha lengo hili, data ilikusanywa ... -
Uchanganuzi wa makosa ya kifonolojia yanayofanywa na wazungumzaji wa kikamba wanapojifunza Kiswahili sanifu
(University of Nairobi, Kenya, 2011)Utafiti huu unanura kuchanganua makosa ya kifonolojia yanayofanywa na wazungumzaji wa kikamba kama lugha ya kwanza wanapojifunza Kiswahili sanifu kama lugha yao ya pili. 1Ii kufikia malengo, utafiti huu umetumia nadharia ... -
Uchanganuzi wa makosa yanayofanywa na wanafunzi wazungumzaji wa lugha ya Ekegusii
(University of Nairobi, 2014)Madhumuni ya utafiti huu ni kuchanganua makosa ya kifonolojia, kimofolojia na kisintaksia yanayojitokeza katika kazi za Kiswahili zilizoandikwa na wanafunzi wazungumzaji wa lugha ya Ekegusii. Utafiti huu ulitathmini ni ... -
Uchanganuzi Wa Matini Teule Ya Nyimbo Za Foustine Munishi: Mtazamo Wa Nadharia Ya Upole
(University of Nairobi, 2011)Utafiti huu ulishughulikia uchanganuzi wa matini teule ya nyimbo za Foustine Munishimtazamo wa nadharia ya upole ya Brown na Levinson (1987) has a kipengele cha mikakati ya kuokoa uso. Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa ... -
Uchanganuzi wa mchezo wa papa shirandula kimaudhui nakimtindo
(University of Nairobi, 2014)Tasnifu hii ni juu ya uchanganuzi kimaudhui na kimtindo wa mchezo wa‘Papa Shirandula’ unaoonyeshwa katika runinga ya ‘Citizen’. Mchezo huu umetungwa na Charles Bukeko na ulipeperushwa kwa mara ya kwanza mwaka wa 2007 ... -
Uchanganuzi wa proposisheni katika Kiswahili: nadharia ya uhusiano
(University of Nairobi, Kenya, 2010)Utafiti huu umeshugulikia uchanganuzi wa proposisheni katika Kiswahili. Tumetumia Nadharia ya Uhusiano ya Sperber, D na Wilson, D. (2003), haswa vipengee vyake ambavyo ni; kanuni ya mawasiliano katika uhusiano na kanuni ... -
Uchanganuzi Wa Vishazi Vumishi Kisintapragmatiki: Ulinganishi Na Ulinganuzi Na Vishazi Vingine Vya Kiswahili Sanifu
(University of Nairobi, Kenya, 2009)Utafiti huu ni kuhusu uchanganuzi wa vishazi vumishi kisintapragmatiki. Vishazi vumishi vina uamilifu wa kisintaksia na nadharia iliyotwnika katika utafiti huu ni Nadharia ya Uhusiano. Kwa hivyo, sintaksia na pragmatiki ... -
Uchunguzi Wa Sitiari Dhanifu Katika Methali Za Kiswahili -mtazamo Wa Nadharia Ya Uhusiano
(University Of Nairobi, 2016)Utafiti huu ulilenga kuchunguza lugha kama inavyotumiwa katika methali za sitiari za Kiswahili. Methali za kisitiari zimebainisha kuwa maana halisi ya neno inaweza kubadilika na kuchukua maana nyingine ambayo ni tofauti ... -
Uchunguzi Wa Sitiari Dhanifu Katika Methali Za Kiswahili -mtazamo Wa Nadharia Ya Uhusiano
(University of Nairobi, 2016)Utafiti huu ulilenga kuchunguza lugha kama inavyotumiwa katika methali za sitiari za Kiswahili. Methali za kisitiari zimebainisha kuwa maana halisi ya neno inaweza kubadilika na kuchukua maana nyingine ambayo ni tofauti ... -
Uchunguzi Wa Vipengele Teule Vya Fani Katika Mashetani Wa Alepo
(University of Nairobi, 2017)